Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,570
- 235,411
Naona wapambanaji wa Uzi mlilimwa ban.Halafu kila siku napigwa BAN mimi tu mods hamuyaoni haya...??
Naona wapambanaji wa Uzi mlilimwa ban.Halafu kila siku napigwa BAN mimi tu mods hamuyaoni haya...??
Muache usumbufu [emoji12]Nipe pole tu maana wamenikalia kiringe..[emoji28]
Mkome kuwa wasumbufuMaisha ni kupanda na kushuka.. nimepanda tena Sasa[emoji23][emoji23]
Ulipotelea wapi maana uzi uliutekekeza kwa muda.Najua unalo la kusema! Liseme tu usinifiche nitalipokea..[emoji28]
Oh pole sana ulifanya kosa gani?Nilipigwa BAN!!..[emoji28]
Kuna komenti niliandika "kumbe na marekani kuna nyumbu" 😅😅
Sijui nilimkwaza nani nikakuta BAN tayari imelala upande wangu!
ni PM namba yake dogoAkinikataa hela yangu itakuwa imeenda bure mkuu!
Najua hawezi rudisha na mimi sio mtoa sadaka wala more sadaka..😅
Wewe msumbufu SanaSasa kuandika tu "kumbe na marekani huwa kuna nyumbu" nalo ni kosa!!
Hapo nikala ban..[emoji23]
MkorofiMsumbufu kivipi mamy..??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mi sina ukorofi! Nawe unanikandia[emoji849]
Basi sawa kama umeamua kuwa hivyo..