Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,825
- 233,259
HapanaBasi huyu jamaa anahitaji msaada mkubwa. Kuna uzi mlikuwa mnavutana nani aanze kutuma kitu Pm, ilikuwa picha? Vp mmeshatumiana?

HapanaBasi huyu jamaa anahitaji msaada mkubwa. Kuna uzi mlikuwa mnavutana nani aanze kutuma kitu Pm, ilikuwa picha? Vp mmeshatumiana?

Hivi kumbe kuna watu huwa wanatufatilia..
Mama ringa but don't tell them anything I think you know the meaning of private message (pm)..![]()

😂😂😂 kenzy
Sign nzuri kabisaa binafsi napenda sana hali kama hiyo inikute inafaida lukuki mno.Kuna binti hapa sio tu kaumbika no kakamilika idara zote kiasi kwamba hata nzi akimtulia kwenye mwili wake mi napata wivu
Tatizo sio kuumbika kwake,hivyo ni vivutio vya kitalii ambavyo nataka nikavifaidi ili kuitendea haki kazi ya bwana..
Tatizo ni udomo zege umenishika dhidi yake!
Nateseka juu yake,kula nakula lakini sishibi kwa sababu yake! Hata kunywa maji nakunywa lakini kiu hakiishi juu yake!.
Nikimsogelea maneno yananikimbia nabaki najiuma uma na kujikuna tu!.. na vile kabarikiwa tabasam ndo kabisa nikiliona mpaka mapigo yangu ya moyo yanachachamaa! Ni kama vile yananihukumu yananiambia "Leo Sasa!"
Msaada ndugu zanguni nifanyaje huu udomo zege niushinde?
Kuna binti hapa sio tu kaumbika no kakamilika idara zote kiasi kwamba hata nzi akimtulia kwenye mwili wake mi napata wivu
Tatizo sio kuumbika kwake,hivyo ni vivutio vya kitalii ambavyo nataka nikavifaidi ili kuitendea haki kazi ya bwana..
Tatizo ni udomo zege umenishika dhidi yake!
Nateseka juu yake,kula nakula lakini sishibi kwa sababu yake! Hata kunywa maji nakunywa lakini kiu hakiishi juu yake!.
Nikimsogelea maneno yananikimbia nabaki najiuma uma na kujikuna tu!.. na vile kabarikiwa tabasam ndo kabisa nikiliona mpaka mapigo yangu ya moyo yanachachamaa! Ni kama vile yananihukumu yananiambia "Leo Sasa!"
Msaada ndugu zanguni nifanyaje huu udomo zege niushinde?
😂😂😂😂tobaaa mkuuSign nzuri kabisaa binafsi napenda sana hali kama hiyo inikute inafaida lukuki mno.
1 inaepusha fedheha
2 inaepusha gharama
3 inaepusha na mamagonjwa
Furahia hiyo hali mkuuu.domo Zege naipenda sana na sijawahi kuijutia.
Mpumbavu akishauriwa hushupaaHayo ya nyota kaa nayo mwenyewe haiwezekani vizuri niwe naviona kwa wengine tu..
Na ungekuwa Domo zege unafikiri ungependa kuwa hivyo.. haujui tu Baki na ushauri wako..Sign nzuri kabisaa binafsi napenda sana hali kama hiyo inikute inafaida lukuki mno.
1 inaepusha fedheha
2 inaepusha gharama
3 inaepusha na mamagonjwa
Furahia hiyo hali mkuuu.domo Zege naipenda sana na sijawahi kuijutia.