Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Subiri akirudi Bak nitawapa pole kwa pamoja watukutu nyie
Bora pole yangu! Bak najua kakushindwa..😜
Hajaona hata pindo la vazi lako!.

Mimi ninayo heri!,Tena bwana ateta nami nakuniinua mbele zako!
Amenionyesha sifa zako nami nimeridhika nawe.. kwa ufalme wake yeye hakika nimekupata kama Adam alivyompata mwandani wake Eva..😉
 
Bora pole yangu! Bak najua kakushindwa..
Hajaona hata pindo la vazi lako!.

Mimi ninayo heri!,Tena bwana ateta nami nakuniinua mbele zako!
Amenionyesha sifa zako nami nimeridhika nawe.. kwa ufalme wake yeye hakika nimekupata kama Adam alivyompata mwandani wake Eva..
Una uhakika hajaona?
 
Back
Top Bottom