Msaada: Nina roho mbaya sana

Kitu chakwanza kabisa unatufanya tuwe makin sana na post unazopost make mtu unaweza shauriwa ukaanza na mtu alie toa ushauri...

Inawezekana ikawa ni kweli unatafuta ushauri ila Kulingana na roho yako unaweza usiwe makin sana na unavyo shauriwa kulingana na roho uliyo nayo.

*ushauri- wangu ni kwamba ebu jaribu kutenga muda wako kama ulivyo sema unajipenda basi jitengeee muda wa kusoma vitabu vya stori mbali mbali ila pia usisahau vitabu vya dini ambavyo vitakuimarisha na kukufanya ile roho uliyo nayo kukutoka JARIBU pia kutenga muda wako kukaa na marafiki ili upate Kuondokewa na mawazo ya kikatiri kujiona wew ndio kila kitu jaribu pia kupokea mawazo yao na kuyatafakari usichukue maamuz moja kwa moja

Mungu atakusaidia
 
Big up,
Hiyo ni roho ya kikomando,
Kwa nini hukwenda kujifunza ukomando sasa?
 
Is there any history of your childhood abuse?
Mkuu niwahi ambiwa nina kiburi sana pia ni mtu msiri nikiwa na maana ya kutoshirikisha watu kwenye mambo yangu binafsi.
Na yote niliyosemwa ni kweli.
Pia niliwahi semwa nina roho mbaya baada ya kufanya hujuma na hili jambo ni la kweli kabisa ila nilikana mchezo ukaisha.
 
wakiitwa wenye viburi nawe utaitwa? kavu kweli wewe ,usituletee thread za kifala humu
Naomba tuu usinitukane mkuu.
Upuuzi wako haunihusu.
Na sio kwa sababu uko uliko unajikuta unajua, we nitafute tuu.
Na sema ningesha kutoa utumbo mbugila wewe. Unazani kila mtu utamropokea.
 
Mi huwa napenda kutazama watu au wanyama wakichinjwa,
alafu napenda kuangalia matukio ya mauaji pamoja na ajali..
Huwa niko interest sana na matukio ambayo wengine wanayahofia
 
kama umejishajitambua basi umeacha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
 
Pole mkuu nimekuogopa huku hata sikufahamu dadadeki tabia kama za Mazombi jitahidi kusali
 
Huwezi kuwa na roho mbaya kabisa...
 
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
UMELELEWA MALEZI MABAYA.
Hukufundishwa Upendo wala hofu ya MUNGU ndio maana uko hivyo.
Biblia inasema, mlee mtoto katika njia impasayo, naye hatoiacha hata atakapo kuwa Mzee.
 
Hakuna tiba ya haraka ila penda sana kutafakari suala la kujibainisha. Kingereza ni empathy. Yaani fikiria ingekuwa ni wewe katika situation fulani ungejisikiaje?
 
ndugu yang scorpion unahitaji msaada wa haraka sana...
 
Subiri siku ufiwe.,aua afe mtu wa karibuuu na ww ndio utajiona kama uko sawa au unatatizo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…