God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
- Thread starter
- #81
Hiyo sura uliiona? sio kila handsome ana sura ya kike wewe?Acha kutuzuga eti una roho mbaya wkt una sura km y dada yako
Hiyo sura uliiona? sio kila handsome ana sura ya kike wewe?Acha kutuzuga eti una roho mbaya wkt una sura km y dada yako
Sawa mwisho wa akili za watu utaujua tuu.Uongo uliopitliza unakumbuka ulichoandika kua kulala na dadako kuna kutesa.ukasema we we ni mtu wa watu na unamwogopa Mungu
Ukiwa muongo tunza kumbukumbu.
wale wadada waliokubaka umefanikiwa kulipiza kisasi
Hata mimi nataka kujua mrejesho wake maana hapo ndo patamuwale wadada waliokubaka umefanikiwa kulipiza kisasi