Msaada: Nina roho mbaya sana

Msaada: Nina roho mbaya sana

Kuna mda unafika najiona niko tofauti na binadamu wenzangu.
Unaweza kuta tupo msibani, ajali au kwenye tukio la mauaji unakuta watu wote wako na huzuni ila mimi niko freshi na nina amani kabisa moyoni wala siwazi yani nachukulia ni jambo la kawaida tuu

Hata wakati wa usiku wa manene huwa siogopi kutembea nje na hata kama hilo eneo lina mashetani au linahisiwa vibaya mimi napita tuu.

Nina hasira za karibu sana na huwa nikigombana na mtu huwa sinaga time nae tena na hata tukija kupatana ni baada ya miaka mingi sana. Hali hii imenifanya kuwa mtu wa visasi na huwa sikubaligi kushindwa jambo kabisa, niko radhi nirudi nipambane na nishinde hilo jambo.

Huwaga najipenda mwenyewe kwanza halafu ndio naangalia na wengine.

Ndugu zangu hata wakifa mimi naona poa tuu na ninavyowaandikia hapa baba yangu ni marehemu na bado halinipi shida mimi naona kitu kidogo tuu.

Hata wazazi wangu nawachukuliwa kawaida tuu hata siwaogopi.
Shuleni nimewahi kuwa na uadui na wale wababe wa shule na kwanza nilikua sinaga time nao.

Kuna mmoja aliwahi kuniambia nina dharau mimi sikumjibu nikaendelea na mambo yangu.
Kuna mmoja alinipiga mgongoni hiyo ndo ikawa safari hadi saivi natamani nikamchome kisu.

Mimi raha yangu ni kusikia watu nisiowapenda wamepata matatizo hata kufa kabisa.
Mimi watu ninaowapenda ni wale wauaji na makatili waliowahi kutokea hapa duniani.

Mimi sipendagi kuonewa kabisa ila nikiona mtu anaonewa ambae hana hatia huwaga nakasirika sana na sa nyingine kuokoa huyo mtu.

Nimekua sina mda sana na wanawake, wakiniletea za kuleta nawapiga chini naendelea na maisha yangu peke yangu, Msichana yeyote akinisma vibaya mimi namfata nampiga makofi naondoka zangu maana mimi si mtu wa maneno.

Nimekua na kiburi mno hata ndugu zangu wanalitambua hili na hii imefanya baadhi ya watu wengi kuniogopa sana.

Sasa wakuu kama nilivyojielezea hapo nawezaje kuepukana na hali yangu hii niliyonayo?

Nawasilisha.
Kitu chakwanza kabisa unatufanya tuwe makin sana na post unazopost make mtu unaweza shauriwa ukaanza na mtu alie toa ushauri...

Inawezekana ikawa ni kweli unatafuta ushauri ila Kulingana na roho yako unaweza usiwe makin sana na unavyo shauriwa kulingana na roho uliyo nayo.

*ushauri- wangu ni kwamba ebu jaribu kutenga muda wako kama ulivyo sema unajipenda basi jitengeee muda wa kusoma vitabu vya stori mbali mbali ila pia usisahau vitabu vya dini ambavyo vitakuimarisha na kukufanya ile roho uliyo nayo kukutoka JARIBU pia kutenga muda wako kukaa na marafiki ili upate Kuondokewa na mawazo ya kikatiri kujiona wew ndio kila kitu jaribu pia kupokea mawazo yao na kuyatafakari usichukue maamuz moja kwa moja

Mungu atakusaidia
 
Big up,
Hiyo ni roho ya kikomando,
Kwa nini hukwenda kujifunza ukomando sasa?
 
Is there any history of your childhood abuse?
Mkuu niwahi ambiwa nina kiburi sana pia ni mtu msiri nikiwa na maana ya kutoshirikisha watu kwenye mambo yangu binafsi.
Na yote niliyosemwa ni kweli.
Pia niliwahi semwa nina roho mbaya baada ya kufanya hujuma na hili jambo ni la kweli kabisa ila nilikana mchezo ukaisha.
 
wakiitwa wenye viburi nawe utaitwa? kavu kweli wewe ,usituletee thread za kifala humu
Naomba tuu usinitukane mkuu.
Upuuzi wako haunihusu.
Na sio kwa sababu uko uliko unajikuta unajua, we nitafute tuu.
Na sema ningesha kutoa utumbo mbugila wewe. Unazani kila mtu utamropokea.
 
Mi huwa napenda kutazama watu au wanyama wakichinjwa,
alafu napenda kuangalia matukio ya mauaji pamoja na ajali..
Huwa niko interest sana na matukio ambayo wengine wanayahofia
 
kama umejishajitambua basi umeacha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
 
Pole mkuu nimekuogopa huku hata sikufahamu dadadeki tabia kama za Mazombi jitahidi kusali
 
Huwezi kuwa na roho mbaya kabisa...
 
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
UMELELEWA MALEZI MABAYA.
Hukufundishwa Upendo wala hofu ya MUNGU ndio maana uko hivyo.
Biblia inasema, mlee mtoto katika njia impasayo, naye hatoiacha hata atakapo kuwa Mzee.
 
Hakuna tiba ya haraka ila penda sana kutafakari suala la kujibainisha. Kingereza ni empathy. Yaani fikiria ingekuwa ni wewe katika situation fulani ungejisikiaje?
 
ndugu yang scorpion unahitaji msaada wa haraka sana...
 
Kuna mda unafika najiona niko tofauti na binadamu wenzangu.
Unaweza kuta tupo msibani, ajali au kwenye tukio la mauaji unakuta watu wote wako na huzuni ila mimi niko freshi na nina amani kabisa moyoni wala siwazi yani nachukulia ni jambo la kawaida tuu

Hata wakati wa usiku wa manene huwa siogopi kutembea nje na hata kama hilo eneo lina mashetani au linahisiwa vibaya mimi napita tuu.

Nina hasira za karibu sana na huwa nikigombana na mtu huwa sinaga time nae tena na hata tukija kupatana ni baada ya miaka mingi sana. Hali hii imenifanya kuwa mtu wa visasi na huwa sikubaligi kushindwa jambo kabisa, niko radhi nirudi nipambane na nishinde hilo jambo.
Pia nimekua na hamu sana ya kuwa mwanajeshi, mimi raha yangu kuona muvi za action tuu watu wakivuja damu na magorofa yakilipuliwa.

Huwaga najipenda mwenyewe kwanza halafu ndio naangalia na wengine.

Ndugu zangu hata wakifa mimi naona poa tuu na ninavyowaandikia hapa baba yangu ni marehemu na bado halinipi shida mimi naona kitu kidogo tuu.

Hata wazazi wangu nawachukuliwa kawaida tuu hata siwaogopi.
Shuleni nimewahi kuwa na uadui na wale wababe wa shule na kwanza nilikua sinaga time nao.

Kuna mmoja aliwahi kuniambia nina dharau mimi sikumjibu nikaendelea na mambo yangu.
Kuna mmoja alinipiga mgongoni hiyo ndo ikawa safari hadi saivi natamani nikamchome kisu.

Mimi raha yangu ni kusikia watu nisiowapenda wamepata matatizo hata kufa kabisa.
Mimi watu ninaowapenda ni wale wauaji na makatili waliowahi kutokea hapa duniani.

Mimi sipendagi kuonewa kabisa ila nikiona mtu anaonewa ambae hana hatia huwaga nakasirika sana na sa nyingine kuokoa huyo mtu.

Nimekua sina mda sana na wanawake, wakiniletea za kuleta nawapiga chini naendelea na maisha yangu peke yangu, Msichana yeyote akinisma vibaya mimi namfata nampiga makofi naondoka zangu maana mimi si mtu wa maneno.

Nimekua na kiburi mno hata ndugu zangu wanalitambua hili na hii imefanya baadhi ya watu wengi kuniogopa sana.

Sasa wakuu kama nilivyojielezea hapo nawezaje kuepukana na hali yangu hii niliyonayo?

Nawasilisha.
Subiri siku ufiwe.,aua afe mtu wa karibuuu na ww ndio utajiona kama uko sawa au unatatizo
 
Back
Top Bottom