Msaada: Nina roho mbaya sana

Msaada: Nina roho mbaya sana

Huezi kuamini sio wazungu pekee.mfano hai ni huyu kaka mwenye thread sema yy bado hajaua.mungu amuepushe.
U won't believe Leo nimesoma a post alioppst scorpion on Facebook mwaka 2013 inasema hvi " iam afraid of myself bcz I don't know when I can become unstoppable killer, I love money more than god,that's why najiogopa sana" mwisho was kunukuu. Nilivyo ona hvyo tu nikasema basi the guy is a psychopath ,he had killer instincts .ndomana namwambia hyu kaka awe makini sana na mkono wake.bcz scopion alitweet hvi 2013 lkn amekuja kutenda mwaka 2016.
Sasa mkuu kama unadhani ni nature we unadhani itabadilika kweli?
Mimi sijakulia kwenye maisha ya kugandamizwa useme nitakua na hayo mazingira! hiyo hapana Ila kuna vitu navitamani moyoni kama wewe unaposikia kiu.
 
Duh we jamaa noma" naangaliaga zile documentary za ma serial killer hua wanachunguzwa pia na account zao wanapost nn lazma wakute kitu kinachorelate na matukio wanayoyafanya"
Kama umeenda mpaka kwa scorpion ukakuta hvo dah haya mambo ni yakuangalia sana kwenye jamii yetu
Tena ni mambo ya kua nayo makini sana. Its too bad nchi yetu haitaki Ku recognise mental illness kama bipolar na ma sadists kama hawa. Ndomana MTU anajiuliza kwann scorpion kamtoa macho yule mkaka bcz tayari alikua ameshamchoma visu na kumuibia.watu hawaelewi amemtoa macho bcz he is sadistic he feel pleasure to do that.
 
Sasa mkuu kama unadhani ni nature we unadhani itabadilika kweli?
Mimi sijakulia kwenye maisha ya kugandamizwa useme nitakua na hayo mazingira! hiyo hapana Ila kuna vitu navitamani moyoni kama wewe unaposikia kiu.
Ndio maana nika kwambia ur a PSYCHOPATH not a sociopath. Kagoogle kaka .pia unaweza ukaacha tu bcz ukishajijua ulivyo unaweza uteseke sana. Potezea jilazimishe ur a normal human being who can not harm another human being
 
Scorpion umetoroka luminescent ee sasa Ngoja police wauone huu uzi
 
Una tatizo la kisaikolojia ndugu hukuinyeshwa upendo na walio karibu yako ukiwa mtoto hivyo huoni kutowapenda nakuwajali wengine ni issue
 
Kuna mda unafika najiona niko tofauti na binadamu wenzangu.
Unaweza kuta tupo msibani, ajali au kwenye tukio la mauaji unakuta watu wote wako na huzuni ila mimi niko freshi na nina amani kabisa moyoni wala siwazi yani nachukulia ni jambo la kawaida tuu

Hata wakati wa usiku wa manene huwa siogopi kutembea nje na hata kama hilo eneo lina mashetani au linahisiwa vibaya mimi napita tuu.

Nina hasira za karibu sana na huwa nikigombana na mtu huwa sinaga time nae tena na hata tukija kupatana ni baada ya miaka mingi sana. Hali hii imenifanya kuwa mtu wa visasi na huwa sikubaligi kushindwa jambo kabisa, niko radhi nirudi nipambane na nishinde hilo jambo.
Pia nimekua na hamu sana ya kuwa mwanajeshi, mimi raha yangu kuona muvi za action tuu watu wakivuja damu na magorofa yakilipuliwa.

Huwaga najipenda mwenyewe kwanza halafu ndio naangalia na wengine.

Ndugu zangu hata wakifa mimi naona poa tuu na ninavyowaandikia hapa baba yangu ni marehemu na bado halinipi shida mimi naona kitu kidogo tuu.

Hata wazazi wangu nawachukuliwa kawaida tuu hata siwaogopi.
Shuleni nimewahi kuwa na uadui na wale wababe wa shule na kwanza nilikua sinaga time nao.

Kuna mmoja aliwahi kuniambia nina dharau mimi sikumjibu nikaendelea na mambo yangu.
Kuna mmoja alinipiga mgongoni hiyo ndo ikawa safari hadi saivi natamani nikamchome kisu.

Mimi raha yangu ni kusikia watu nisiowapenda wamepata matatizo hata kufa kabisa.
Mimi watu ninaowapenda ni wale wauaji na makatili waliowahi kutokea hapa duniani.

Mimi sipendagi kuonewa kabisa ila nikiona mtu anaonewa ambae hana hatia huwaga nakasirika sana na sa nyingine kuokoa huyo mtu.

Nimekua sina mda sana na wanawake, wakiniletea za kuleta nawapiga chini naendelea na maisha yangu peke yangu, Msichana yeyote akinisma vibaya mimi namfata nampiga makofi naondoka zangu maana mimi si mtu wa maneno.

Nimekua na kiburi mno hata ndugu zangu wanalitambua hili na hii imefanya baadhi ya watu wengi kuniogopa sana.

Sasa wakuu kama nilivyojielezea hapo nawezaje kuepukana na hali yangu hii niliyonayo?

Nawasilisha.
UWIIIIIIII
SCORPION wa buguruni mwingine yuko huku jaman...yewomi...pole tatizo umeathiriwa na hizo muvi za wanaopenda kupigana..acha kabisa kuzitazama halafu umrudie muumba wako
 
Mbona we mzuri tu bro,hujakutana na manunda wasiwasi wako tu,dunia isingependeza kuwa na watu wazuri pekee,ndiyo maana kuna Giza,kuna Nuru,kuna Uhai kuna kifo,hivyo ulivyo mungu ameona inafaa
 
You are the psycho!!!!...yes you are coz i know what you are going through!!!...
 
Kuna mda unafika najiona niko tofauti na binadamu wenzangu.
Unaweza kuta tupo msibani, ajali au kwenye tukio la mauaji unakuta watu wote wako na huzuni ila mimi niko freshi na nina amani kabisa moyoni wala siwazi yani nachukulia ni jambo la kawaida tuu

Hata wakati wa usiku wa manene huwa siogopi kutembea nje na hata kama hilo eneo lina mashetani au linahisiwa vibaya mimi napita tuu.

Nina hasira za karibu sana na huwa nikigombana na mtu huwa sinaga time nae tena na hata tukija kupatana ni baada ya miaka mingi sana. Hali hii imenifanya kuwa mtu wa visasi na huwa sikubaligi kushindwa jambo kabisa, niko radhi nirudi nipambane na nishinde hilo jambo.
Pia nimekua na hamu sana ya kuwa mwanajeshi, mimi raha yangu kuona muvi za action tuu watu wakivuja damu na magorofa yakilipuliwa.

Huwaga najipenda mwenyewe kwanza halafu ndio naangalia na wengine.

Ndugu zangu hata wakifa mimi naona poa tuu na ninavyowaandikia hapa baba yangu ni marehemu na bado halinipi shida mimi naona kitu kidogo tuu.

Hata wazazi wangu nawachukuliwa kawaida tuu hata siwaogopi.
Shuleni nimewahi kuwa na uadui na wale wababe wa shule na kwanza nilikua sinaga time nao.

Kuna mmoja aliwahi kuniambia nina dharau mimi sikumjibu nikaendelea na mambo yangu.
Kuna mmoja alinipiga mgongoni hiyo ndo ikawa safari hadi saivi natamani nikamchome kisu.

Mimi raha yangu ni kusikia watu nisiowapenda wamepata matatizo hata kufa kabisa.
Mimi watu ninaowapenda ni wale wauaji na makatili waliowahi kutokea hapa duniani.

Mimi sipendagi kuonewa kabisa ila nikiona mtu anaonewa ambae hana hatia huwaga nakasirika sana na sa nyingine kuokoa huyo mtu.

Nimekua sina mda sana na wanawake, wakiniletea za kuleta nawapiga chini naendelea na maisha yangu peke yangu, Msichana yeyote akinisma vibaya mimi namfata nampiga makofi naondoka zangu maana mimi si mtu wa maneno.

Nimekua na kiburi mno hata ndugu zangu wanalitambua hili na hii imefanya baadhi ya watu wengi kuniogopa sana.

Sasa wakuu kama nilivyojielezea hapo nawezaje kuepukana na hali yangu hii niliyonayo?

Nawasilisha.
Uongo uliopitliza unakumbuka ulichoandika kua kulala na dadako kuna kutesa.ukasema we we ni mtu wa watu na unamwogopa Mungu

Ukiwa muongo tunza kumbukumbu.
 
Duuh uko wapi tutoe timu amazing maana mm nina 3days sijacheka.Nna visasi adi najiogopa naishi peke yangu napenda ukimya na gizaa tokea mtt sina rafiki wala undugu na mtu.
Mkuu mimi nina undugu na wale watu wanaoeleweka tuu. na marafiki wajanja wale wapuuzi nilisha wafungia mlango siku mingi sana.
 
Back
Top Bottom