Msaada: Nina roho mbaya sana

Msaada: Nina roho mbaya sana

umeshaanza hatua za mabadiliko kwa maana ya KUJITAMBUA
 
mmh, wewe ni zaidi ya osama sasa

Hapo nakuombea tu kwa Muumba akusaidie maana mimi nimeshindwa
 
Unaweza kuwa una roho mbaya.. lakini unaweza kugeuka na kuwa mtu mwema kabisa.
Kwanza jifunze kusamehe.. alafu kuwa mtu wa ibada Muombe sana Mungu aondoe hiyo hali katika maisha yako.
 
I think your a psychopath, am sorry to say hauwezi kupona bcz ubongo wko ni tofauti na binadamu wa kawaida that's why umesema ikitokea msiba au jambo LA kuogopesha ww hutishiki.jibu ni kua watu wengi ambao ni psychopaths wanakosa remose ndomana ikitokea msiba hufeel vibaya .poa ulivyosema huogopi ni kweli psychopath hawanaga fear. Ushauri wangu kua makini sana na vitu vya kuumiza mtu kipindi ikitokea ugomvi na mtu mfano visu,mapanga au bastola bcz watu wa aina yenu asilimia kubwa ya seriel killers hapa duniani ni psychopath kua makini sana ndugu.jizuie hta ukipata roho ya kumuua MTU.pole sana huo ni ugonjwa na kibaya zaidi hakuna tiba ya psychopaths au sociopath ni kumuomba mungu tu
 
We jamaaa tunafanana tabia ila mi nina uwezo mkubwa wa kujicontrol teheheheeee
Pole sana na ww ni sociopath.ukiona unaweza kujicontrol ujue ww ni sociopath au psychopath lkn sio kiwango kikubwa.jiupushe na ugonvi u can kill
 
Pole sana na ww ni sociopath.ukiona unaweza kujicontrol ujue ww ni sociopath au psychopath lkn sio kiwango kikubwa.jiupushe na ugonvi u can kill
Ts true body hata mtu aniuzi vip nacheka tu
 
Hapo chini umesema unawezaje kuepuka hali km hyo.am sorry to break this to you.hautoweza kua kawaida.bcz psychopath ni people who were born evil they have killer instinct within them ,mfn scorpion yule ni psychopath bcz alivyo mchoma visu yule kaka na kumuibia yule kaka alikua hana nguvu tena lkn scorpion alimtoa macho,jiulize why kamtoa macho? Its bcz his is sadistic yaani amefanya hivyo to feel pleasure. Pole sana ndugu.cha kuku shauri epuka sana kutaka kuua bcz hapo ulipo una asilimia 90 utakuja kuua ktk maisha yko.be careful na mkono wako
 
Sure kabisa" hua wako hiv na maranyingi wanakua psychopath kutokana na mazingira au vitu walivyopitia..malezi
Vitu vibaya vya ukatili uliopitiliza kwao wanaona ni normal tu.
Lkn sio kosa lao ,mfano a psychopath anazaliwa hvyo yaani kuna vitu kwny brain vinakosekana km kufeel huruma,lkn sociopath hawa sasa ndo wanakua wamesababishwa na abuse wakiwa wadogo. Most of seriel killers in the world are psychopath and sociopath
 
Lakini najiulizaga kwann wengi ni wazungu
 
Kuna mda unafika najiona niko tofauti na binadamu wenzangu.
Unaweza kuta tupo msibani, ajali au kwenye tukio la mauaji unakuta watu wote wako na huzuni ila mimi niko freshi na nina amani kabisa moyoni wala siwazi yani nachukulia ni jambo la kawaida tuu

Hata wakati wa usiku wa manene huwa siogopi kutembea nje na hata kama hilo eneo lina mashetani au linahisiwa vibaya mimi napita tuu.

Nina hasira za karibu sana na huwa nikigombana na mtu huwa sinaga time nae tena na hata tukija kupatana ni baada ya miaka mingi sana. Hali hii imenifanya kuwa mtu wa visasi na huwa sikubaligi kushindwa jambo kabisa, niko radhi nirudi nipambane na nishinde hilo jambo.
Pia nimekua na hamu sana ya kuwa mwanajeshi, mimi raha yangu kuona muvi za action tuu watu wakivuja damu na magorofa yakilipuliwa.

Huwaga najipenda mwenyewe kwanza halafu ndio naangalia na wengine.

Ndugu zangu hata wakifa mimi naona poa tuu na ninavyowaandikia hapa baba yangu ni marehemu na bado halinipi shida mimi naona kitu kidogo tuu.

Hata wazazi wangu nawachukuliwa kawaida tuu hata siwaogopi.
Shuleni nimewahi kuwa na uadui na wale wababe wa shule na kwanza nilikua sinaga time nao.

Kuna mmoja aliwahi kuniambia nina dharau mimi sikumjibu nikaendelea na mambo yangu.
Kuna mmoja alinipiga mgongoni hiyo ndo ikawa safari hadi saivi natamani nikamchome kisu.

Mimi raha yangu ni kusikia watu nisiowapenda wamepata matatizo hata kufa kabisa.
Mimi watu ninaowapenda ni wale wauaji na makatili waliowahi kutokea hapa duniani.

Mimi sipendagi kuonewa kabisa ila nikiona mtu anaonewa ambae hana hatia huwaga nakasirika sana na sa nyingine kuokoa huyo mtu.

Nimekua sina mda sana na wanawake, wakiniletea za kuleta nawapiga chini naendelea na maisha yangu peke yangu, Msichana yeyote akinisma vibaya mimi namfata nampiga makofi naondoka zangu maana mimi si mtu wa maneno.

Nimekua na kiburi mno hata ndugu zangu wanalitambua hili na hii imefanya baadhi ya watu wengi kuniogopa sana.

Sasa wakuu kama nilivyojielezea hapo nawezaje kuepukana na hali yangu hii niliyonayo?

Nawasilisha.

Funguka shetani, Mungu alikufukuza peponi kutokana na tabia yako ila nakushangaa tu katika miaka yote hiyo umekuja kujishitukia leo hii? Kweli moyo unao.
 
Unaweza kuwa una roho mbaya.. lakini unaweza kugeuka na kuwa mtu mwema kabisa.
Kwanza jifunze kusamehe.. alafu kuwa mtu wa ibada Muombe sana Mungu aondoe hiyo hali katika maisha yako.
Mkuu mimi kuna kipindi naonaga huruma pale napoona mtu anaonewa ila ishu nyingine hunilazimishi wala huniambii lolote.
 
Hapo chini umesema unawezaje kuepuka hali km hyo.am sorry to break this to you.hautoweza kua kawaida.bcz psychopath ni people who were born evil they have killer instinct within them ,mfn scorpion yule ni psychopath bcz alivyo mchoma visu yule kaka na kumuibia yule kaka alikua hana nguvu tena lkn scorpion alimtoa macho,jiulize why kamtoa macho? Its bcz his is sadistic yaani amefanya hivyo to feel pleasure. Pole sana ndugu.cha kuku shauri epuka sana kutaka kuua bcz hapo ulipo una asilimia 90 utakuja kuua ktk maisha yko.be careful na mkono wako
Mkuu nashukuru sana ila kama ndio ulemavu wangu basi iko siku ntakuja kuuwa mtu kweli au kuja kufanya mapinduzi kwenye hii nchi maana kuna mambo ni ya ajabu ajabu baada ya kada yani hayajakaa vizuri sasa sipendi huo uchafu.

Mijitu ya ajabu kama kina mbowe nayo naichukia mno maana ni minafiki wala haina lolote zaidi ya mdomo, ufisani na uhuni tuu. Sasa watu waa aina hiyo mimi ili nafsi yangu iwe na amani lazima niichinje nione damu inatembea kama mrefeji kabisa au niitie kiberiti kabisa.
Inaudhi mno.
 
Lakini najiulizaga kwann wengi ni wazungu
Huezi kuamini sio wazungu pekee.mfano hai ni huyu kaka mwenye thread sema yy bado hajaua.mungu amuepushe.
U won't believe Leo nimesoma a post alioppst scorpion on Facebook mwaka 2013 inasema hvi " iam afraid of myself bcz I don't know when I can become unstoppable killer, I love money more than god,that's why najiogopa sana" mwisho was kunukuu. Nilivyo ona hvyo tu nikasema basi the guy is a psychopath ,he had killer instincts .ndomana namwambia hyu kaka awe makini sana na mkono wake.bcz scopion alitweet hvi 2013 lkn amekuja kutenda mwaka 2016.
 
Duh we jamaa noma" naangaliaga zile documentary za ma serial killer hua wanachunguzwa pia na account zao wanapost nn lazma wakute kitu kinachorelate na matukio wanayoyafanya"
Kama umeenda mpaka kwa scorpion ukakuta hvo dah haya mambo ni yakuangalia sana kwenye jamii yetu
 
Mkuu nashukuru sana ila kama ndio ulemavu wangu basi iko siku ntakuja kuuwa mtu kweli au kuja kufanya mapinduzi kwenye hii nchi maana kuna mambo ni ya ajabu ajabu baada ya kada yani hayajakaa vizuri sasa sipendi huo uchafu.

Mijitu ya ajabu kama kina mbowe nayo naichukia mno maana ni minafiki wala haina lolote zaidi ya mdomo, ufisani na uhuni tuu. Sasa watu waa aina hiyo mimi ili nafsi yangu iwe na amani lazima niichinje nione damu inatembea kama mrefeji kabisa au niitie kiberiti kabisa.
Inaudhi mno.
Kwa taarifa yako kua psychopath ni kitu kibaya sana .kma unajua kingereza google usome na ujielewe.sio sifa .usifkiri ni kua hero kutaka kuua watu uliwataja. Shauri yako. Nenda katafute msaada wa wana saikolojia utaishia pabaya SNA usipo jiangalia
 
Back
Top Bottom