Hahahahaaa...... ukunite kumbe ni mchumba wangu na nategemea kuweka jiko soon, wakati unapata ushauri unakuja stuka dem nsamchukua tayari.Hata huyo aliyenae naye alimkuta kwenye mahusiano na mwingine. Love is cycle, mambo ya tupo wangapi hayo.
karibu sanaFor you nitafanya hivyo
Afu kuna wengine wanapewa ndani ya lisaa tuha haha inabidi tuwe wagumu usotee demu mwaka mzima
Hahahahaa.... mfano mie huwa situmii simu ila nikimhitaji dem namtongoza live bila chenga.Mkuu huku kila mtu ana cv yake ya kuaproach sasa wewe sijui utaaply ipi
Asante sanakaribu sana
Ukisema usubiri aachwe ndio na wewe ujiongeze utasubiri sana.Hahahahaaa...... ukunite kumbe ni mchumba wangu na nategemea kuweka jiko soon, wakati unapata ushauri unakuja stuka dem nsamchukua tayari.
ndiyo maana yakeAfu kuna wengine wanapewa ndani ya lisaa tu
Kaka Hamis to be honest Umemshauri sana, kaka big up broBroo cha. Msingi jiamini kweli, wanaotaka kuoa hujiamini kwa kila hali. Be a strong man. Hamna ushauri, zaidi ya kujiamini,..! Nakutakia mafanikio baada ya kujiamini.!
Inawezekana hajaolewa ila yupo ambae yuko commited nae kaka, ukapeleka barua ikakataliwa bro na kwa mtazamo wa mtoa mada hana kifua cha ku face failure na nimuoga wa kujaribuKama unania ya kuoa na km bado hajaolewa nenda om kwao peleka posa kabisa nenda na baadh ya watu wazma ataona kwel upo serious
Unaanzaje kwenda kwa wazazi wa mtu ambaye hata haupo kwenye mahusiano nae?Kama unania ya kuoa na km bado hajaolewa nenda om kwao peleka posa kabisa nenda na baadh ya watu wazma ataona kwel upo serious
Elezea baada ya kupata namba alikwambia nini? Isiwe ni maharage ya mbeya.Reminding me,my ex alinifata kwa njia zote alibuma,akachukua no kwa rafiki angu, sijui hata ilikuaje alifanikiwa...jaribu that could be your way ya kumpata
Teh, hayakuhusu...kwani maharage ya mbeya ni dakika ngapiElezea baada ya kupata namba alikwambia nini? Isiwe ni maharage ya mbeya.
The Boss upo? Miss u...kwa hyo drama wewe ni noma..inaelekea ww ni simba mwenda poleTafuta shughuli anayofanya.....ukionana nae jifanye una shida ya kikazi tu
so akupe mawasiliano yake kikazi tu
akishakupa mchunie kama wiki mbili hivi
lakini ukionana nae msalimie tu...
halafu anzia hapo kwenye shida ya kikazi taratiibu...teremka...
mfesi dairekti tu na umweleze shida yako,Namba ninayo tayari mkuu