Msaada: Nimetengwa kijamii

Nenda kwa mbowe ukamshitakie otherwise kubaliana na nduguzo maisha yaendelee..Point to note.Huko chadema umenufaika nn?.all in all politics = ***'n game
 
Mbona hakuna shida mkuu, kama vipi badili mazingira, maisha bila ndugu yanawezekana
 
Nenda kwa mbowe ukamshitakie otherwise kubaliana na nduguzo maisha yaendelee..Point to note.Huko chadema umenufaika nn?.all in all politics = ****'n game
Ningefaidika kuungana na hao wauaji au?
 
KICHWA CHAKO KINA MATOBO! KWANI NA HIYO NI SHIDA
 
TAFUTA HELA.
PUMBAVU ZAKO
ACHA KUAMINI KATIKA NDUGU, MARAFIKI, NA JAMAA.
PAMBANA MWENYEWE.
Mimi mwenyewe nimetengwa. Ila sijali.
Namtegemea mungu.
Ukiwa na dharau utaishi miaka mingi.
 
Sema kwanza chanzo cha kutengwa...lasivyo na sisi wana jamiiforums tuta kutenga kwa kushindwa kutwambia ukweli...
 
TAFUTA HELA.
PUMBAVU ZAKO
ACHA KUAMINI KATIKA NDUGU, MARAFIKI, NA JAMAA.
PAMBANA MWENYEWE.
Mimi mwenyewe nimetengwa. Ila sijali.
Namtegemea mungu.
Ukiwa na dharau utaishi miaka mingi.
Asante mkuu japo umetumia lugha ya ukali ila nimekuelewa, Ubarikiwe. Nafarijika sana napokutana na wenzangu wenye hali kama yangu kwa kweli.
 
KICHWA CHAKO KINA MATOBO! KWANI NA HIYO NI SHIDA
Kwako ww yawezekana isiwe shida na nakupongeza maana ni uwezo wako binafsi. Kwa uwezo wangu huu ni kikwazo sana maana kinanirudisha nyuma kimaisha
 
Asante mkuu japo umetumia lugha ya ukali ila nimekuelewa, Ubarikiwe. Nafarijika sana napokutana na wenzangu wenye hali kama yangu kwa kweli.
Usijali. Najua unavyoumia. Ndo maana nimetumia hyo lugha.kukupa ujasiri.
Kaza moyo.
Hata Mimi uwa kuna wakati naumia Sana moyoni. Lakini nabaki na misimamo yangu.
Ujue Mimi sipendi kuburuzwa na mkubwa wala mtoto. Na Mara nyingi uwa nasimamia misimamo yangu hata kama nitapingana na ndugu zangu wote.
Na Mimi nimetengwa sababu ya MISIMAMO YANGU MIKALI.
 
Mkuu tuko pamoja mimi pia sitofautiani na wewe.
Good lucky
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…