Msaada; nimepoteza data

Msaada; nimepoteza data

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,646
Reaction score
9,623
Habari wandugu, pc yangu ilipata matatzo ya window nikaipeleka kwa rafki yangu ainstall windo mpya.... Kwa bahati mbaya wakat wa kuinstall akaformat local disc D iliyokuwa na data zangu muhimu..msaada nawezaje kupata data zangu?
 
Hilo ndilo tatizo, siku hizi mtu akijua kuinstall OS tayari kaishakuwa fundi wa computer.
Siku nyingine wapelekee mafundi wenye ujuzi. Zipo software nyingi za ku recover files zilizofutika na ni free download, jaribu ku-google utazipata.
 
asante kwa ushaur mkuu, je nitahitajika kuwa na extrenal harddiscs?

unaweza iinstall kwenye comp hiyo hiyo lakini wakati wakurecover chagua recovered files ziwe saved kwenye external na kumbuka usiweke chochote kwenye pc mpaka urecover files zako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom