Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 6,989
- 14,770
Kijana ukiajiriwa unatakiwa ufanye kazi, yaani upige mzigo hadi bosi akiona kutokuwepo kwako kwa siku moja tu ni pigo kwa kampuni/taasisi hapo bosi lazma akuongezee mkataba bila kupenda...
Lakini kama unafika ofisini unaenda kuangalia chura za mademu na kumaliza unity za luku kwa kula kiyoyozi kamwe boss hawezi kukuongeza mkataba sahau hilo.....
Lakini kama unafika ofisini unaenda kuangalia chura za mademu na kumaliza unity za luku kwa kula kiyoyozi kamwe boss hawezi kukuongeza mkataba sahau hilo.....