South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,514
- 5,137
Habari zenu waheshimiwa naomba kujuzwa.Niliajiriwa katika kampuni fulani na nimefanya kwa muda wa miaka 6 na kabla ya mkataba kuisha nilipewa barua ya kumaliza mkataba na kuambiwa nisiripoti kazini.Naomba kujua yafuatayo
1)Je barua niliyopewa ya kumaliza mkataba(End of contract) ndio ya hiyo hiyo ya kumaliza mkataba?
2)Kama kuna barua nyingine ntapewa je inatakiwa nipewe ndani ya muda gani? Na ni hatua gani za kisheria natakiwa kuzifuata kama nisipopewa ndani ya muda huo?
3)Na mwisho ni haki gani za msingi natakiwa kuzipata kutoka kwa mwajiri wangu pindi akifuata taratibu zote hapo juu
Karibuni kwa michango yenu pia kama kuna ambayo sijaainisha hapo na unaona ni muhimu kuyajua tafadhari yaweke ili mimi na yule ambaye amekumbwa na janga kama langu aweze kuelimishwa.