PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,280
Mkuu serikalini kuna mikopo, unakwatwa taratibu miaka kadhaa. Unakuta unakatwa elf50 kila mshahara wako uingiapo. Mshahara wa 350 unipe 300 Nina hofu gan marupurupu ya kutosha, pemben una unapewa mkopo wa 20M kwa miaka kadhaa, we iyo lak8 utaikushanya lin mpk 20M, mtoa mada usiwasikilize hawa inabdi uwe na jicho la kuona mbali usipende kuwa mvivu wa kufikir na kuona mbali. Huwa nawashaur watu siku zote "usihlangalie hapa, angalia kule"
Swali ni kwamba anajenga nini na anaendesha nini? Kwa hiyo huko aliko huyu mleta mada hakuna watu wenye magari na nyumba? Watu wengine wanajenga kwa vile ni wezi. Sasa na wewe unataka huyu naye akaibe huko?