MSAADA: Nimepata kazi Serikalini dereva ila mshahara mdogo kuliko wa Mwendokasi ninakofanya kazi sasa. Nimechanganyikiwa!

Fata ushauri wa huyu jamaa.
Nikupe mfano kuna ndg yng anafanya kazi serikalini analipwa 350k Ila anajenga na ana gar yake nzuri tuu. Na security ya kazi. Kama ni permanent kapige kazi kama ni ya muda acha acha acha
Wewe ni muongo Sana una ndugu gani wewe Mimi nisiemjua?
 
Mkuu,tatizo watanzania wengi tunapenda kutengenezewa fursa,yaani mtu atengeneze Jambo la faida halafu akunufaishe wewe kirahisi ...

800k per month yaan Ni zaidi ya mwalimu mwenye digrii
Mwalimu wa primary tu wapo wanakunya laki 8 na 90 tena mwalimu mkuu na posho ya madaraka ivi huwa mnatoa wapi izo data?
 
Kama wakala wa vipimo n mkoani nenda kuna perdiem za kutosha kuchek mizan wilayani lakn Kama n Dar baki na mwendo Kasi wako.
 
Nimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa!

Wanabodi mimi ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na Mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month
Chai hii, hukujua mshahara kabla ya kuomba?
 
Hapo jitambuena jiongeze. Tofauti ni kubwa sana. Kama ulikuwa kamradi au ujenzi ukienda huko ujue umeulaza chali. Na kama una mtoto unasomesha ujue ushamkatiza kusoma!
Usishangae hata mwenza wako akaanza tabia hukutegemea! Nawaza tuu!!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
All in all serikalini ni kutamu, but uwe mjanja, sio unazubaa zubaa tu
 
Nimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa!

Wanabodi mimi ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na Mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month .

Wandugu kwa sasa nimevurugwa kwan baada ya interview iliyohusisha watu 760 ambao tuliomba kazi wakala wa vipimo tumepenya na kuajiriwa 57 tu.

Nimepewa barua Jana napaswa kuripoti kituon kuanzaia 2/7 sasa aisee mbona hii salary Jau!? Yaani nipo kipindi kigumu wandugu hebu wenye uzoefu nisaidieni hill!?

Kiukweli napata wakati mgumu sana barua ninayo ila naipenda ajira za Serikali tatizo hiyo salary!?

Naomba ushauri.
Kama unapata NHIF na PSSSF hizo ni benefits nzuri, nenda serikalini.
 
Na hiki ndo kinawafanya watumishi wengi wanabaki maskini, hadi anastaafu ni full kumanga manga, mimi nimeshaliona hili na fursa nyingine ya mkopo nitajipanga na vimiradi......potelea pwete.
Kuajiriwa hakujawahi kumuacha mtu salama

Ngoja nijitazame tena
 
nenda kuna Siri kubwa serikalini using kama ndezi we huoni madereva wote wa serikalini wanang'aa na wanavitambi.Nenda utanishukuru'
 
😂😂😂
Acheni kumjaza mwenzenu ujinga...uache laki nane ukimbilie laki tatu..ukikatwa hiyo unabaki na laki mbili...ukienda huko utakula msongo wa mawazo to your entire life.

Kuhusu ishu ya perdiem wasikudanganye..perdiem inaendana na levo ya mshahara..kwa mshahara huo perdiem yako haitazidi elfu sitini..sasa upate safari ya siku tatu singida utalipwa 240,000.

Ukienda huko ulipie guest, msosi, utakutana na watoto wa kiburushi..utakula nao bata..siku ya kurudi mjini utaishia kubeba machungwa na viazi hautabaki na kitu.

Ushauri wangu endelea hapo hapo mwendokasi
 
Hahahahaaa madereva wanapigana misumari balaa. Ukiwa dereva wa tengo lenye safari sana unaula wakuone unajenga au mnapatana na boss wako lazima ule majungu sana mpaka ukabidhiwe trekta la idara
Sie ngozi nyeusi tuna shida sana, wakati mwingine hata mfanyakazi tu unakuta mtu anamfanyia mwenzie figisu huku hata elimu anazidiwa !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom