sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,053
- 1,303
Wakuu,
Nilianzisha biashara ya nguo lakini soko limekuwa gumu sana nilikuwa nachukua nguo K/koo napeleka mikoani hasahasa Morogoro ila biashara ni ngumu huko mzigo hautembei kabisa mauzo madogo mpaka pesa inaishia kwenye chakula, usafiri nå malazi tu.
Wakuu naomba ushauri maana kwenye akiba yangu nimebakiwa na 1,200,000 tu naombeni ushauri nifanye biashara gani kwa sasa itakayonitoa, maana hata sielewi.
Sizonje madawa