mtafutaji2016
Senior Member
- Jun 19, 2016
- 105
- 46
Umeongea point kakaHahaha hapa ndo nawakubali watu.
Kwa kifupi hakuna boashara rahisi.
Hizo za nafaka wapo wanao lia kwa sasa, kuna mtu ana mgahawa analia kuna mtu ana bucha atakuambia Nyama haiendi.
Fanya kile ulicho na mapenzi nacho wewe kama wewe na sio mwingine.
Biashara zote zinahitaji commitemnt na pia hapo Inovations.
FANYA BIASHARA UKILENGA KUTATUA CHANGAMOTO UNAZO ZIONA KWENYE JAMII.
Ukisubili mtu akuambie cha kufanya inakula kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app