Msaada: Nimelala na wanawake wengi sana

Ubarikiwe kwa ushauri wako mkuu
 
Hiyo si ndio huwa mnaiita necha yenu iweje tena utake kushauriwa? [emoji848]
Sii maisha mazuri kimwili na kiroho.mara kibao nimesali nikiwa gest na malaya.ndio ujue hiyo tabia sipendi
 
Nafikir wanawake wengi sikuhiz tunaelewa Nini tunataka wakati gani tunahitaji mtoto na wakat gani hatuhitaji na wew kuwa muwazi kuhusu kuzaa ili isikuletee shida

Sabbu majuto utayopitia yakuathiri Sana badae ni hivo



Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Dah! Nimejikuta nacheka kanisani kiti cha tatu kutoka mbele!
Mkuu umeanza kwa hesabu nikajua utamsikitikia kwa jinsi alivyokimbiza jahazi, kumbe unamtengenezea vibe jingine!? [emoji1787][emoji1787]
Nasisi wenye miezi mitatu hatujachakata mbususu unatushauri nini!! Tunakwepa vizinga mkuu!!
 
Dah!! Intergrations zimetokea wapi tena!! [emoji1787][emoji1787]
Hii dunia ndogo!!
 
Total 180 tu, watu tunakimbilia 500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…