Una kilo ngapi kwanza mkuu? Pili piga chini misosi yenye acid sana na mafuta kibao, usifuge stress.
Nenda kinyume na formula au maisha ya mazoea, umri huo kula milo miwili tu, asubuhi isivuke saa nne na jioni kabla ya saa moja au mbili inatosha.
Kunywa maji klingana na kilo zako, au ukiskia kiu, haya mambo ya glass nane, au zaidi achana nayo, unaosha madini ya mwili mkuu.
Kula mboga za kijani kibichi,zilizopikwa zikaiva na ...usisikilizi wale wa zisiive sana; utakula bacteria na kuchosha mfumo wa usagaji. Usile vitu vibichi mara kwa mara kama kachumbari, salad.
Andaa juisi ya tikiti kamulia na limao. Halafu usitake matokeo haraka unavuruga saikolojia. Jipe mwezi kuanza kuona matokeo, wakati huo gonga mara mbili kwa wiki tu.
Viagra na hizo kitu hazijengi addiction kwa mujibu wa tafiti, labda saikolojia imekutufanya hivyo, ila side effects zipo ila sio za kufanya unachoambiwa na wadau kuwa utakuwa unaitegemea. jipe muda soma mechanism ya hizo dawa zinavyofanya kazi utaelewa