Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Be Blessed MkuuApplication letter in your own hand writing or typed, Detailed CV including three contactable referees, Copies of relevant certificates and any other testimonials which will support your application should be
HUMAN RESOURCES MANAGER
GEITA GOLD MINING LTD
P. O. BOX 532,
GEITA - MWANZA.
Phone – +255282160100 / Email: jobs@geitagold.com
Or submitted at GGM Administration Block Reception Office & the subject must be ''Application for
Closing date is 30th September, 2013
Source: Job opportunity for a Nurse at-Geita Gold Mine, Tanzania - wavuti.weebly.com
Yaani hata siamini afu walipiga mara moja tu hawajarudia tena!!!!ggm mkuu umekosa shavu hilooo
Yaani hata siamini afu walipiga mara moja tu hawajarudia tena!!!!
WanaJF polen na majukumu..
Naomba msaada kwa yeyote anaeifahamu hiyo namba hapo juu.
Naomba kujua ni ya company gani?? maana nimekuta missed calls zake kwenye simu yangu ukiipiga inaonekana iko kwenye fax
Ujue me huwa nashangaa,inakuaje mtu unatafuta kazi then unakaa mbali na simu yako?ona sasa kama wewe ushapishana na gari la mshahara.

Inawezekana jamaa alikuwa bafuni
Nilikuwa kwenye kikao mkuu
Nilikuwa kwenye kikao mkuu
Nilikuwa kwenye kikao mkuu
sasa kumbe tena tayari una kazi?acha kuwazibia na wenzako bana!
Sio vikao vyote vya kazi vingine vya kusuruhisha ndoa!