B bigonzo JF-Expert Member Joined Feb 23, 2016 Posts 2,914 Reaction score 2,255 Apr 11, 2016 #81 duh ..kama wemekuibia simu utabet vipi mkekabet?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Apr 11, 2016 #82 Kigoma nenda tu kwa babu hakikisha hivyo vitu vinaingizwa kwenye matumbo yao; watakutafuta kwa wakati wao. Wezi ni nuksi hawafai;
Kigoma nenda tu kwa babu hakikisha hivyo vitu vinaingizwa kwenye matumbo yao; watakutafuta kwa wakati wao. Wezi ni nuksi hawafai;
GreenCity JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 5,904 Reaction score 4,667 Apr 11, 2016 #83 bushland said: Sijaiba bana Click to expand... Apia kama kweli hujaiba! Jichore na msalaba kifuani mkuu!
bushland said: Sijaiba bana Click to expand... Apia kama kweli hujaiba! Jichore na msalaba kifuani mkuu!
bushland JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 7,015 Reaction score 4,999 Apr 11, 2016 #84 Tayar kwe GreenCity said: Apia kama kweli hujaiba! Jichore na msalaba kifuani mkuu! Click to expand... Kweli jaman, nshajichora, Invisible Kuna mtu ananitishia maisha huku yeueiiiiiiiiii, auwiiiiiiii, yelewiiiiiiii, njoo mtoe uwiiiiie
Tayar kwe GreenCity said: Apia kama kweli hujaiba! Jichore na msalaba kifuani mkuu! Click to expand... Kweli jaman, nshajichora, Invisible Kuna mtu ananitishia maisha huku yeueiiiiiiiiii, auwiiiiiiii, yelewiiiiiiii, njoo mtoe uwiiiiie