Msaada: Nimeibiwa usiku wa kuamkia leo

Ndugu zangu wana jukwaa kwa masikitiko makubwa nawataarifu ya kuwa usiku wa kuamkia leo wezi wamevunja mlango wa uani na kuingia ndani.

Wameniibia TV flat screen inchi 32 samsung, System ya mziki, deki na simu yangu aina ya Samsung galaxy s3 ya kikorea.

Naombeni ushirikiano wenu kwa atakayeona mtu anauza vitu hivyo.

Eneo wizi ulipotokea ni Kigoma.
Mambo madogo hayo mkubwa, vya dunian hivo tunaviacha Tu, we saka vingine Tu kimtindo acha presha babuuu
 
wacha uibewe huna adabu na heshima ya kumiliki flat screen yani unamiliki flat screen sumsung galax, unaishi kigogo? we umejipereka, huspo kuwa makini watakuibia mpka mkeo. hama haraka sana
 
Pole sana!! Yan mpaka leo wez wa kigoma wana mambo ya wiz wa kizama wa kuvunja alafu tena wanaiba mpaka tv!! Huku kwetu wao wanaiba kwa kukwapua simu na pesa tu.
 
pole sana, kwa sisi wakazi wa kigoma tutakupa ushirikiano wa kutosha tunaamini kuwa hivyo vitu watakuja kutuuzia wananchi Wakawaida ansatee kwa taarifa. lakin jitahidi na mwenyewe kutoa taarifa kwa wakazi wa ilo eneo usiishie kwetu.
 
Ndugu zangu wana jukwaa kwa masikitiko makubwa nawataarifu ya kuwa usiku wa kuamkia leo wezi wamevunja mlango wa uani na kuingia ndani.

Wameniibia TV flat screen inchi 32 samsung, System ya mziki, deki na simu yangu aina ya Samsung galaxy s3 ya kikorea.

Naombeni ushirikiano wenu kwa atakayeona mtu anauza vitu hivyo.

Eneo wizi ulipotokea ni Kigoma.
Pole brother, I feel your pinch....
 
wacha uibewe huna adabu na heshima ya kumiliki flat screen yani unamiliki flat screen sumsung galax, unaishi kigogo? we umejipereka, huspo kuwa makini watakuibia mpka mkeo. hama haraka sana
Umetoka wapi wewe, mbona harahara mno
 
Back
Top Bottom