Msaada: Nimeibiwa usiku wa kuamkia leo

Msaada: Nimeibiwa usiku wa kuamkia leo

wacha uibewe huna adabu na heshima ya kumiliki flat screen yani unamiliki flat screen sumsung galax, unaishi kigogo? we umejipereka, huspo kuwa makini watakuibia mpka mkeo. hama haraka sana
Hahaaaa mkuu Sufi leo hivi ulisema ujumbe kwanza au umedandika katikati Kigoma na Kigogo wapi kwa wapi.
 
Nipo Kigoma mtaa wa Mlole kata ya mwanga kasikazini.

Nb: diwani wetu ni Baba Levo (nimechomekea tu)
 
WEWEmtoa uzi, kigoma nenda kwa karumanzila haraka vitu vyako vitarudi muulizie Mganaga maharufu anaitwa dr nitekenye.
 
Pole sana mkuu,kuibiwa kunauma sana naona watu wengine.wanaleta.mzaha lakini wangelijua wasingeleta utani.
 
Ndugu zangu wana jukwaa kwa masikitiko makubwa nawataarifu ya kuwa usiku wa kuamkia leo wezi wamevunja mlango wa uani na kuingia ndani.

Wameniibia TV flat screen inchi 32 samsung, System ya mziki, deki na simu yangu aina ya Samsung galaxy s3 ya kikorea.

Naombeni ushirikiano wenu kwa atakayeona mtu anauza vitu hivyo.

Eneo wizi ulipotokea ni Kigoma.
 
Usha report police?police kama hawawezi kukupa msaada ....jiongeze watafute wewe kama wewe...
 
sema wa Kigoma ni wachache sana humu JF unaweza hata kuwahesabu Kafuli, Zito Machali, Mkosamali, ....hawazidi kumi
 
Sasa hivi kuna mashine za Aram zinauzwa,zinapatikana hata kaliakoo,ni mashine ndogo kama simu unaifunga kwenye nyumba yako pale mwizi anapoingilia,ikifika usiku unapoenda kulala unaweka ON,atakapoingia tu,itapiga kelele mpaka atakimbia mwenyewe kabla ya wewe kuamka
 
Mshahara wako na Muda uliofanya kazi unakuruhusu kumiliki mali zote hizo?

Nakala; Takukuru Mkoa Kigoma.
 
Umetaka tujue vifaa vyako ulivyonavyo. Tumeshajua. Ungehitaji msaada ungetoa maelezo zaidi mf specifications,alama fulani kama zipo n.k
Na kama ulihitaji sympathy hivyo vitu ni vidogo sana hata pole hauhitaji. Komaa chapaa kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom