[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sasa hata hao wez Kwan hawapajui kwa babu?!Kigoma nawaaminia ukisharipoti polisi, nenda kwa babu (wataalamu) uwakomeshe. Pole sana.
Sio kigogo mkuu.. ni kigomawacha uibewe huna adabu na heshima ya kumiliki flat screen yani unamiliki flat screen sumsung galax, unaishi kigogo? we umejipereka, huspo kuwa makini watakuibia mpka mkeo. hama haraka sana
Ulikuwa una haraka na wewe uonekane umepost?Soma vizuri ndio ukoment.Mtu ameandika Kigoma we unasema Kigogo.Acha papara!wacha uibewe huna adabu na heshima ya kumiliki flat screen yani unamiliki flat screen sumsung galax, unaishi kigogo? we umejipereka, huspo kuwa makini watakuibia mpka mkeo. hama haraka sana
Sijaiba banaNina wasi wasi kama na wewe hujahusika kwenye hiyo mishe!
Mbavu zangu aise, haaaaaaaaaa.siitakuwa noma hiyo aiseDondoka kwa Juma njemba mshushe mtu tezi dume au awe anajamba kila sekunde
Labda na hao wezi walianzia kwa babu kuwatengenezea mambo yaliyowawezesha kumwibia kirahisi mleta mada.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sasa hata hao wez Kwan hawapajui kwa babu?!
Bila kufanya mambo yetu ya jadi wezi awawezi kukoma hata kidogo ukimpeleka police kesi zinachua muda mrefu hila kwa babu ni dk 45 kitu ewani kuna Jirani yangu watoto wa mjini walikula vitu kwenye ist yake akutaka kesi na mtu kataganza Ndani ya wiki moja vifaa virudishwe jamaa wakakaza jamaa kadondoka kibondo sasa jamaa wanatembea wanajikuna mwili mzima awana raha hata kidogo huku wakijitangaza kila sehemu kuwa tuliiba vitu kwenye Gari ya mtu wa KigomaMbavu zangu aise, haaaaaaaaaa.siitakuwa noma hiyo aise
Sio kwamba ninabisha,ila kwa kibondo hakuna mganga mwenye uwezo huo mi nilizaliwa hapo kibondo nawajua wote,Bila kufanya mambo yetu ya jadi wezi awawezi kukoma hata kidogo ukimpeleka police kesi zinachua muda mrefu hila kwa babu ni dk 45 kitu ewani kuna Jirani yangu watoto wa mjini walikula vitu kwenye ist yake akutaka kesi na mtu kataganza Ndani ya wiki moja vifaa virudishwe jamaa wakakaza jamaa kadondoka kibondo sasa jamaa wanatembea wanajikuna mwili mzima awana raha hata kidogo huku wakijitangaza kila sehemu kuwa tuliiba vitu kwenye Gari ya mtu wa Kigoma
Kweli unaweze kuwa umezaliwa hila uwezi kujua hayo mambo kama ujishugulishi nayo hila kwa mujibu wa Jirani yangu kasema alikwenda kibondo mabamba kwa babu yake ntamtafuta hili anipe full storySio kwamba ninabisha,ila kwa kibondo hakuna mganga mwenye uwezo huo mi nilizaliwa hapo kibondo nawajua wote,
Mwambie mi nimezaliwa Nyaruyoba,nikasomea kasanda.naomba ukimpata unipe namba yake km VP na Mimi niende Ku check afya, kwa sasa naishi ArushaKweli unaweze kuwa umezaliwa hila uwezi kujua hayo mambo kama ujishugulishi nayo hila kwa mujibu wa Jirani yangu kasema alikwenda kibondo mabamba kwa babu yake ntamtafuta hili anipe full story
wacha uibewe huna adabu na heshima ya kumiliki flat screen yani unamiliki flat screen sumsung galax, unaishi kigogo? we umejipereka, huspo kuwa makini watakuibia mpka mkeo. hama haraka sana
Mwizi unajihami ili jamaa asikuendee kwa babu! Kibondo wapo sana, unamjua Mzee Mpambije wewe? Labda sema amehama lakini siyo kwamba Kibondo mababu hawapo!Sio kwamba ninabisha,ila kwa kibondo hakuna mganga mwenye uwezo huo mi nilizaliwa hapo kibondo nawajua wote,
Sawa bwana,nilitoka miaka mingi, Fanya kama nilivyo kuombaMwizi unajihami ili jamaa asikuendee kwa babu! Kibondo wapo sana, unamjua Mzee Mpambije wewe? Labda sema amehama lakini siyo kwamba Kibondo mababu hawapo!
Umesoma bandiko au umekurupuka tu kuchangia?wacha uibewe huna adabu na heshima ya kumiliki flat screen yani unamiliki flat screen sumsung galax, unaishi kigogo? we umejipereka, huspo kuwa makini watakuibia mpka mkeo. hama haraka sana
Sijaima Mimi jaman yeiwoiiiiiiiiiie auwiiiiiiiiii, Mod njoon wananionea huku yeuwiiiiiiiiiiiNi wewe umeiba?
Na hili nilitaka kumuuliza.Wa kusoma, uko kigoma sehemu gani. Nataka kujua ili niamue namna sahihi ya kukusaidia