Msaada: Nimeibiwa simu, laptop na hard disk

Huntsman

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
633
577
Wakuu,

Nimeibiwa Laptops 2 Simu na Hard diskis 2 plus vitambulisho na kichinjio. Mbaya zaid mwizi anatumia namba yangu kumpigia rafiki yangu ana demand pesa ili arudishe mali alizoiba. Pia amesajili a special number ili atumiwe pesa huko na arudishe vitu vyote. Hizo laptops zina vital information na anatishia kuni blackmail zaidi. Namba yangu nimeamua kesho nika iblock ili nispate matatizo zaid. sasa wakuu wa teknolojioa hapa nifanyeje ili nimlocate alipo? Watu wa mitandao wako slow sana na wansema hawawezi kunipa location bali mnara alipo tu. na pia nimefuata protocal za kipolisi bado mambo magumu.

Msaada wakuu nitatoa 200k kwa atakaye niwezesha hili.

Humble respect.
 
Umejuaje kama kaizima hio tablet?

Kwa sababu in pattern na alishindwa kui unblock. that tablet is mine naitumia kama simu. so aliiba hiyo ndo akatoa anatumi line kwa simu nyingine bro. but simu anayotumia yeye siijui.
 
Wakuu,

Nimeibiwa Laptops 2 Simu na Hard diskis 2 plus vitambulisho na kichinjio. Mbaya zaid mwizi anatumia namba yangu kumpigia rafiki yangu ana demand pesa ili arudishe mali alizoiba. Pia amesajili a special number ili atumiwe pesa huko na arudishe vitu vyote. Hizo laptops zina vital information na anatishia kuni blackmail zaidi. Namba yangu nimeamua kesho nika iblock ili nispate matatizo zaid. sasa wakuu wa teknolojioa hapa nifanyeje ili nimlocate alipo? Watu wa mitandao wako slow sana na wansema hawawezi kunipa location bali mnara alipo tu. na pia nimefuata protocal za kipolisi bado mambo magumu.

Msaada wakuu nitatoa 200k kwa atakaye niwezesha hili.

Humble respect.

Kwanza usiifunge namba yako ili utengeneze mazingira ya kumkamata, nikiri tu hatuna wataalam wa cyber combat kiviile wa kuwategemea kutatua matatizo kama haya, turudi kwenye suluhu au njia zitakazo rahisisha kumkamata mwizi huyu, kwanza inabidi kufuatilia huko huko watu wa mitandao ujue namba yako inatumika kuwasiliana na nani mwingine ukiacha rafiki yako hapa inategemea how smart he is, ila kuna kujisahau akawasiliana na washikaj zake kwa namba yako hii itasaidia kumpata yeye kupitia wengine hii njia itakua na unafuu kidogo kwasababu hizi; anategemea kupata pesa ya kukomboa vitu vyenu kwa hiyo atahakikisha line inakuwa hewani mara nyingi ili apate kuwasumbua au akitegemea feedback kutoka kwenu hapo ndipo anaweza kuwasiliana na wenzie au rafiki zake, ikitambulika namba yoyote aliyowasiliana nayo kama watakua either rafiki zake au ndugu zake ni rahisi kutengeneza mtego kumshika huyo aliyewasiliana nae na ndi atakaetoa taarifa za muhalifu akibanwa vizuri.. kwa kuanzia huu ndio ushauri wangu.
 
mkuu kwa kuwa umetoa taarifa polisi basi hivyo vitisho vya blackmail visikusumbue, we wataarifu jamaa zako wote kuwa namba yako haitumiki tena ila usiiblock, na uwaambie mtu akiwapigia kwa hiyo namba wakutaarifu mda huohuo ili sasa ui-track hiyo namba yako ilipo.
 
Wakuu,

Nimeibiwa Laptops 2 Simu na Hard diskis 2 plus vitambulisho na kichinjio. Mbaya zaid mwizi anatumia namba yangu kumpigia rafiki yangu ana demand pesa ili arudishe mali alizoiba. Pia amesajili a special number ili atumiwe pesa huko na arudishe vitu vyote. Hizo laptops zina vital information na anatishia kuni blackmail zaidi. Namba yangu nimeamua kesho nika iblock ili nispate matatizo zaid. sasa wakuu wa teknolojioa hapa nifanyeje ili nimlocate alipo? Watu wa mitandao wako slow sana na wansema hawawezi kunipa location bali mnara alipo tu. na pia nimefuata protocal za kipolisi bado mambo magumu.

Msaada wakuu nitatoa 200k kwa atakaye niwezesha hili.

Humble respect.

Nenda polisi kitengo cha cyber crime watampata fasta. Nimewahi kuwatumia mwezi uliopita. Ila inabidi uongee nao chemba ukifuata utaratibu mlolongo ni mrefu watakuchelewesha.
 
huu upuuzi wa kuongea chemba ndio unaturudisha sana watz nyuma wenzetu wanaendelea na kukua kwa kila kitu shauri wanakubali kufanya kazi kwa bidii ss tumeweka pesa mbele badala ya kukabiliana kwanza na changamoto.
chaajabu sasa ukiwapa hiyo pesa bado wanambwela kwa kuwa mawazo yao yapo kwenye pesa zaidi badala ya kushugulika na kazi kwanza.

unalilia kupewa pesa kazi yenyewe utaiweza?? ukifanya kitu kizuri automatic tuu lazima upongezwe kama sio kwa kupewa hera cash basi uliye mtendea shukrani zake zinakubaliki na kukufungulia na kukupa wepesi kwenye mambo mengine
 
Back
Top Bottom