Msaada: Nimeibiwa ofisini kwangu, naomba msaada wakupata mali zilizoibwa

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,136
1,952
Usiku wa kuamkia juzi ndugu yenu nimeibiwa ofisini ni BANDA la mabati ya kuchomelea yale magumu walichofanya ni kupanua kwa kuingiza chuma pembezoni mwa maungio ya bati palipochomelewa kisha wakaingia ofsini.

Walivyoiba ndani ni TV mbili Aina HISENCE + TCL zote inch 32 na remote zake.

Hard Disk 4TB (3) 1 ikiwa ni aina ya Transcend Zingine ni Zile hard Disk kubwa za 3.5 ika nineziweka ndani ya CASE (ORICO).

SIMU 3 za uwakala (nokia ndogo)

Pesa 2.7M

Mitungi ya GAS mikubwa 8 (oryx 4,mihan 2,taifa 2) midogo 15 (oryx 9, mihan 6)

Ombi langu kwa Watu wa kawaida/Mafundi TV yeyote ataeletewa 1 ya hivi vitu Anisaidie tumkamate huyo muuzaji.

OFA yangu ni 1,000,000 kwa yeyote ataenisaidia kumpata muuzaji wa 1 ya hivi vitu, hata kama ukimpata Mwizi wa nokia ya tochi nina 1,000,000 yako kama aASANTE.

wizi umetokea KIMARA SUKA. wakazi wa KIMARA SUKA,GOLANI,MBEZI,TEMBONI,UBUNGO na maeneo jirani wote naomba ushirikiano wenu.

Whatsapp + Call = 0659567391
 
Pesa na hivyo visimu vidogo ni vitu unashindwa kuondoka navyo kweli?

Anyway poleee ndo ukubwaa
 
Pole sana .. Hawa watu wanarudisha nyuma maendeleo ya wapambanaji
 
Pole sana haujafunga camera hapo
 
Pole sana mkuu ila hapo kwenye pesa 2.7M, umezembea kidogo! Mie hata ninapoingia bafuni kuoga katu pesa siachagi mfukoni wewe umeacha kwenye banda la mabati duu! Kweli tuko tofauti sana!
Mungu akufanyie wepesi ukazipate mali zako!

nb: Kuwa macho na wale wanaosema toa pesa tukurudishie mali zako kimazingira, unawezajikuta unapoteza pesa zaidi na mali zako usipate!
 
Back
Top Bottom