Msaada: Nimeibiwa ofisini kwangu, naomba msaada wakupata mali zilizoibwa

Kwa jiji kama la dar ni ngumu. Isitoshe pia wakijua kuna camera wanavaa masweta yenye kofia au kapelo kufunika uso

Kweli kabisa ila kuhusu security huko bado sana
Yaani labda waweke kila mmoja na hata maduka na nje pia camera zikiangalia barabara
Hapo hata wakiziba uso wakiotoka lazima wavue nje halafu za mitaani zinawanasa

Bado safari ndefu sana huko
 
Back
Top Bottom