Msaada: Nimeibiwa ofisini kwangu, naomba msaada wakupata mali zilizoibwa

Mkuu mimi ni wakala siwezi tembea na mahela mengi usiku, hizo hela ukiziona katika buku buku na noti za 2000 ni burungutu kubwa mkuuu.

sina usafiri useme nikitoka usiku nitawasha chombo hadi home,natembea kwa miguuu na kuna siku nakua na Cash nyingi zaidi ya hiyo iliyoibiwa kusema nitembee nayo usiku no hatari zaidi boss.
Kwa kazi yako ulitakiwa upate hata pikpik ya million 1 kurahisisha mizunguko
 
sio rahisi kutembea na pesa mkuu, Sio rahisi kabisa hasa sisi tunaotembea kwa miguuu na nikitoka kazini siendi direct home lazima nipite sehemu nile au niende mahali kwahyo kuzunguka na maburungutu kiunoni ni hatari zaidi boss

Wewe watu wanakaa baaa wana milion zaid ya 5 na wala hawana wasiwasi ni bora uwahi ukaweke home ndo uendelee na mishe 2m sio nyingi ya kuogopa jamani hiyo tunaweka kwenye bra tunaswampa kariakoo kona zote
 
Mkuu mimi ni wakala siwezi tembea na mahela mengi usiku, hizo hela ukiziona katika buku buku na noti za 2000 ni burungutu kubwa mkuuu.

sina usafiri useme nikitoka usiku nitawasha chombo hadi home,natembea kwa miguuu na kuna siku nakua na Cash nyingi zaidi ya hiyo iliyoibiwa kusema nitembee nayo usiku no hatari zaidi boss.

Me ni wakala pia, nakushauri kama huwezi ondoka na pesa tengeneza safe ofisini kwako ili uwe unazifungia humo vinginevyo uwe unapanda boda tu
 
Utaibiwaje kindezi nana hiyo?
Vitu vyote hivto unaacha kwenye banda la mabati.
Pole sana ila sikuhurumii
 
Fanya utaraibu wakureport polisi namba za simu zote ulizokuwa unatumia

wataweza ku track imei zake ni mara chache sana watu wa design hiyo kubadili imei za simu ndogo wakiuza.

Mji organize wafanyaboashara hapo muweke kampuni ya ulinzi mchange muwe mnawalipa.

Iwe kampuni ya ulinzi yenye bima hata mkiibiwa mlipwe !
 
sina mkuuu hivi visimu ni vya muda sana mkuuu ni tangu 2017 niko navyo sijawahi kuhifadhi zile imei kabisa mkuuu.
Hauna haja ya kukariri imei number kuotrack simu .. line /namba zako waki search wataona zilikuwa zikitumika wak imei zipi hivyo basi watazipata imei kupitia namba zako za simu zilizo ibiwa .

Na wakizipata imei -- zitaonyesha mtumiaji mpya wa simu zako atakapoweka line yake itakuwa linked na hzo imei

Nenda oysterbay police kareport kama ulikuwa umeenda kituo kidogo.
 
Usiku wa kuamkia juzi ndugu yenu nimeibiwa ofisini ni BANDA la mabati ya kuchomelea yale magumu walichofanya ni kupanua kwa kuingiza chuma pembezoni mwa maungio ya bati palipochomelewa kisha wakaingia ofsini.

Walivyoiba ndani ni TV mbili Aina HISENCE + TCL zote inch 32 na remote zake.

Hard Disk 4TB (3) 1 ikiwa ni aina ya Transcend Zingine ni Zile hard Disk kubwa za 3.5 ika nineziweka ndani ya CASE (ORICO).

SIMU 3 za uwakala (nokia ndogo)

Pesa 2.7M

Mitungi ya GAS mikubwa 8 (oryx 4,mihan 2,taifa 2) midogo 15 (oryx 9, mihan 6)

Ombi langu kwa Watu wa kawaida/Mafundi TV yeyote ataeletewa 1 ya hivi vitu Anisaidie tumkamate huyo muuzaji.

OFA yangu ni 1,000,000 kwa yeyote ataenisaidia kumpata muuzaji wa 1 ya hivi vitu, hata kama ukimpata Mwizi wa nokia ya tochi nina 1,000,000 yako kama aASANTE.

wizi umetokea KIMARA SUKA. wakazi wa KIMARA SUKA,GOLANI,MBEZI,TEMBONI,UBUNGO na maeneo jirani wote naomba ushirikiano wenu.

Whatsapp + Call = 0659567391
Daaah
Huku kurudishana nyuma kinyama sana.

Fanya hivi.
Nenda nyumba ya Ibada katoe sadaka kisha mueleze Mungu hii issue yako utaona anavyoingia kazini
 
Duh wanaosema kuacha pesa wanashangaa unajuaje huyo mtu hapo alipo anapoacha pesa na kama akitembea nazo hatari zaidi ni kutembea nazo ?

Kuna watu wanakaa mitaani kufika kwao mpaka usafiri kuunganisha hata mara tatu.., hapo wezi wakikusoma ni rahisi kukuvamia popote pale..., kuna dada wa Mpesa walishamchora kila siku na pochi yake wakahisi kutakuwa na mauzo ya mmpesa kilichotokea ni kumvamia aliposhuka kwenye boda wakachukua pesa na kumuachia majeraha...

Cha Muhimu ni watu kupunguza kununua bidhaa za wizi (sababu kununua kwetu hivi vifaa ni kuzidi kuwapa uhai hawa wapuuzi)
 
Usiku wa kuamkia juzi ndugu yenu nimeibiwa ofisini ni BANDA la mabati ya kuchomelea yale magumu walichofanya ni kupanua kwa kuingiza chuma pembezoni mwa maungio ya bati palipochomelewa kisha wakaingia ofsini.

Walivyoiba ndani ni TV mbili Aina HISENCE + TCL zote inch 32 na remote zake.

Hard Disk 4TB (3) 1 ikiwa ni aina ya Transcend Zingine ni Zile hard Disk kubwa za 3.5 ika nineziweka ndani ya CASE (ORICO).

SIMU 3 za uwakala (nokia ndogo)

Pesa 2.7M

Mitungi ya GAS mikubwa 8 (oryx 4,mihan 2,taifa 2) midogo 15 (oryx 9, mihan 6)

Ombi langu kwa Watu wa kawaida/Mafundi TV yeyote ataeletewa 1 ya hivi vitu Anisaidie tumkamate huyo muuzaji.

OFA yangu ni 1,000,000 kwa yeyote ataenisaidia kumpata muuzaji wa 1 ya hivi vitu, hata kama ukimpata Mwizi wa nokia ya tochi nina 1,000,000 yako kama aASANTE.

wizi umetokea KIMARA SUKA. wakazi wa KIMARA SUKA,GOLANI,MBEZI,TEMBONI,UBUNGO na maeneo jirani wote naomba ushirikiano wenu.

Whatsapp + Call = 0659567391
kama umeibiwa juzi na uko serious kwa msaada nicheki dm but uwe tayari kwa matokeo usibadilike tu baadae ukawa msumbufu
 
Hauna haja ya kukariri imei number kuotrack simu .. line /namba zako waki search wataona zilikuwa zikitumika wak imei zipi hivyo basi watazipata imei kupitia namba zako za simu zilizo ibiwa .

Na wakizipata imei -- zitaonyesha mtumiaji mpya wa simu zako atakapoweka line yake itakuwa linked na hzo imei

Nenda oysterbay police kareport kama ulikuwa umeenda kituo kidogo.
Asante mkuuu hivyo nikifika oysterbay nitoe upya taarifa maana tayari nimeshafungua kesi kituo cha Polisi kimara Mwisho.
 
Duh pole sana, inakuwaje unaweka hela nyingi hivo ndani mwako usipolala badala ya kuweka bank?
Kikulacho ki nguoni mwako, na wezi hurudisha watu nyuma sana
 
Back
Top Bottom