Msaada Nimeibiwa Jamani

Pole mkuu, tumekupata, me naishi kihonda kilimanjaro tutawapa taarifa pia majirani habari. pole sana.
 

pole sana engineer!
 

pole sana,basi katika hao vibarua wa fundi kuna aliejua mpango mzima.
katika maelezo ya polisi mngewaandikisha hao kuwa mnawashuku ili wawasaidie polisi katika upatikanaji.anyway walioko huko watakusaidia pindi vikiingia sokoni. na hawataviuzia mitaa hiyo watauzia mbali sana.
 
pole sana ndugu. et serikali ndo wanasema wa2 2cjichukulie sheria mkononi kweli? unauma sana eti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…