Mwl Mweusi
Member
- Feb 12, 2018
- 26
- 17
Na vipi kuhusu private naweza pata ? au ndo nifanye mpango Wa chuo tu ?Kwa iyo mtu akipata A tatu za History, Kiswahili na English na akawa na division IV ya 26 na yeye ataenda chuo kwa kuwa tuu ana credit?
Dogo, ukishakuwa na division 4 tuu, sahau advance.
Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo;
Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo;
Civics D,
History C,
Kiswahili D,
English C,
Geography D,
Biology D, na
Math's F
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!
Chuo sahau walishasema nilazima upite ADVANCE LEVEL kabla ya chuoNa vipi kuhusu private naweza pata ? au ndo nifanye mpango Wa chuo tu ?
Kwa mwaka wao there is no shortcut.... Fuata procedures A_LEVEL TO UNIVERSITY
Kwa masomo yako hapo naona una credits 2 yani C, na shule za private ni hadi uwe nazo 3. Kama lengo lako ni lazima usome A'Level basi rudia mtihani kupata hiyo C ingine/zingine ndo uweze kuwa Qualified kuendelea na A'Level PRIVATE SCHOOLS, vinginevyo tafuta chuo usome kitu ambacho unakipenda na ungetamani kuwa nacho (NDOTO), sababu unapoanza na hiyo diploma au chochote ujue kwa kiasi kikubwa hata kwenye kujiendeleza utapita humo humo kwenye hiyo taaluma/fani uliyoichagua/utakayoichagua sasa!..Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo;
Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo;
Civics D,
History C,
Kiswahili D,
English C,
Geography D,
Biology D, na
Math's F
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!
Unaenda.Na vipi kuhusu private naweza pata ? au ndo nifanye mpango Wa chuo tu ?
Anaweza kwenda A'Level Kwa credit mbili?Unaenda.
Kuna mdada fulani, alienda na akapata Div 11 Points 10 HKL kutoka Div 4 Points 26
Nime-edit.
Mkuu mabadiliko huwa mnayapitiaga au kusikiliza kwenye vyombo vya habari kwa muktadha wa elimu walisema, kwa mtu ambae amefeli unapaswa kurudia masomo yote sio kuchagua baadhi uliyofeli na ni lazima na siyo hiari kwa nyakati hiziKwa masomo yako hapo naona una credits 2 yani C, na shule za private ni hadi uwe nazo 3. Kama lengo lako ni lazima usome A'Level basi rudia mtihani kupata hiyo C ingine/zingine ndo uweze kuwa Qualified kuendelea na A'Level PRIVATE SCHOOLS, vinginevyo tafuta chuo usome kitu ambacho unakipenda na ungetamani kuwa nacho (NDOTO), sababu unapoanza na hiyo diploma au chochote ujue kwa kiasi kikubwa hata kwenye kujiendeleza utapita humo humo kwenye hiyo taaluma/fani uliyoichagua/utakayoichagua sasa!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo sahau walishasema nilazima upite ADVANCE LEVEL kabla ya chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaniuliza ama huna uhakika? Ukiona taarifa hapa jf unatakiwa wewe binafsi uanze kudadisi na kufanya tafiti mimi sio lazima niwe msemaje wa mwisho, wewe kujilizisha ni kuendelea kulifanyia tafiti jambo,Mkuu una uhakika wa hii habari???
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbona kama unajichanganya mwenyewe mzee, umesema anaenda hpo hpo unasema lzma awe na C tatu, jamaa maelezo yake ana 2 sasa hpo umeshauri nn mzee.Unaenda.
Kuna mdada fulani, alienda na akapata Div 11 Points 10 HKL kutoka Div 4 Points 26.
Jambo la msingi uwe na CREDITS tatu ( Yaani C au zaidi ) na usiwe na F pia kwenye Combination unayotaka kusoma.
Hawezi kwenda kama hana CREDITS tatu. PERIODMbona kama unajichanganya mwenyewe mzee, umesema anaenda hpo hpo unasema lzma awe na C tatu, jamaa maelezo yake ana 2 sasa hpo umeshauri nn mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app