Msaada nimefukuzwa kazi nani wakunitetea

Msaada nimefukuzwa kazi nani wakunitetea

Status
Not open for further replies.
Sheria ya ajira na mahusiano kazini (ELRA) 2004 inakataza ubaguzi,nenda CMA haraka sana.Hiyo ni unfair termination,kimbia haraka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amesema alikuwa mtumishi wa serikali, hawezi kwenda CMA. Kama yupo ndani ya muda, apeleke rufaa tume ya utumishi wa umma. Tume pia inapokea malalamiko ya watumishi wa umma.
 
Unajua Mkuu humu JF kuna watu wenye nafasi kubwa zaidi ya unavyofikiria, sasa unapoeleza vitu kwa mkato mkato watu watashindwa kukusaidia... Eleza

Kazi ulikuwa unafanya wapi, wewe ulikuwa ukifanya kazi gani hapo, je masharti ya ajira yako yalikuwaje (ya kudumu au mkataba), barua umepewa lini na sababu zilizoandikwa kwenye barua... Hapo at least watu watapata pa kuanzia
Akitoa haya maelezo ndio ataweza kusaidika.
Inaonekana hakuelewa kwa nini amefukuzwa.
Labda angeipiga picha barua yake ya termination inasema nini ili tujue.
Sidhani kama Kuna bosi anaweza kuthubutu kumfukuza mtu kwa sababu ya ulemavu,hiyo ni kesi kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani niende ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam au Rais wa wanyonge
Life is not fair accept it,be happy,smile nimefukuzwa kazi sababu tu ni disability (deaf hatua ya tatu ) tena kwenye ofisi ya serikali( serikali hii ya wanyonge) na kikubwa zaidi kazi nilikua nafanya kwa asilimia mia bila kikwazo chochote japo ni disability.

Ninayo miguu,mikono,macho na ninaongea vizuri tu . lakini Nina amini ni fitina tu na roho mbaya tu za baadhi ya viongozi . kwa sasa nipo tu mtaani sina kazi na Hali ngumu mno mtaani tangu mwaka huu uanze sijui lipi la kufanya .neno langu uongozi ni kitu cha mpito tu . hii inchi

Na sisi tuna familia kama nyinyi mnapotufukuza kazi twende wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Barua ya kuachishwa kazi umepewa?, imeandikwa sababu gani yakuachishwa kazi?
 
Natamani niende ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam au Rais wa wanyonge
Life is not fair accept it,be happy,smile nimefukuzwa kazi sababu tu ni disability (deaf hatua ya tatu ) tena kwenye ofisi ya serikali( serikali hii ya wanyonge) na kikubwa zaidi kazi nilikua nafanya kwa asilimia mia bila kikwazo chochote japo ni disability.

Ninayo miguu,mikono,macho na ninaongea vizuri tu . lakini Nina amini ni fitina tu na roho mbaya tu za baadhi ya viongozi . kwa sasa nipo tu mtaani sina kazi na Hali ngumu mno mtaani tangu mwaka huu uanze sijui lipi la kufanya .neno langu uongozi ni kitu cha mpito tu . hii inchi

Na sisi tuna familia kama nyinyi mnapotufukuza kazi twende wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, hapo kuna mambo kadhaa ili ushauriwe vizuri yajulikane
1/ Huu ulemavu wa kutosikia ulizaliwa nao au umekupata tu ukubwani?
2/ Na kama umekupata ukubwani je umekupata wakati upo kazini au kabla ya kazi?
3/ Wakati wa kufukuzwa kazi umepewa barua ya kufukuzwa kazi? ili hapo pia ijulikane ulikuwa unafanya kazi gani? maana kuna kazi kweli hawawezi kufanya kazi husika kama ni walemavu wa kusikia kutokana na nature ya kazi.

USHAURI
Kwa kuwa ni serikali na kuna uwezekano mkubwa wa kama kazi husika inaonekana hutaweza kuifanya kutokana na nature ya kazi unaweza kubadilishiwa kazi tofauti na hiyo, lkn huwezi kubadilishiwa bila ya ku claim.
Naiua kwa sasa huna hela ya kudai haki yako sasa unachotakiwa kufanya nenda kituo cha sheria na haki za binadamu ukaombe ushauri mzuri au fika kwa mkurugenzi wako wa halmashauri au afisa mwajiri wa juu ukiambatanisha mkataba wako na barua ya kufukuzwa kazi.
Ofisi ya maadili ya utumishi wa umma chini ya ofisi ya rais zipo pia kila kanda hii iwe ya mwisho mwisho itapoonekana uongozi wako wa juu imeshindikana
 
September 2019
IMG_20200113_143249_677.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulikua serikalini inamaana hukua na bima ya afya mpaka unasema hela umemaliza kwenye matibabu
Wakati nipo kwenye vugu vugu lakutetea kibarua changu kisiote nyasi pesa zote nililipia matibabu kwa imani nitaweza kushinda na kuondelea na kazi lakini aikuwa hivyo pesa yote nililipia matibabu na kibarua kikaota nyasi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana
Ametaja ulemavu wake yani deaf, ambao ni ulemavu wa kutosikia
Mkuu usijichoshe kuwaeleza hao wanuliza ulemavu gani! Jamaa kajieleza kuwa ana ulemavu wa kutokusikia hatua ya tatu.Wasome nyuzi wazielewe.
Kwako mleta uzi Jiwe Jr eleza sababu za kufukuzwa kazi.
 
Right
[emoji23][emoji23][emoji23] harafu hii ishu aliitoa mwez wa 9 mwaka 2019 sasa alifanya kazi serikalini kwa muda gani mpaka sasa anafukuzwa na aliomba hii ishu kutafutiwa muda gani, kweli hiyo tu jiwe ni fake identity, fake avator and fake idea lets us continue to give fake answer [emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona watu wanauliza mara saba saba either lugha mgongano au ame edit tayari thread .mimi nimesoma mara moja na kuona disability kasema ni deaf (kiziwi) grade 3(sijajua ukiziwi una ranks)
sasa mnauliza mara saba saba
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom