Msaada nimefukuzwa kazi nani wakunitetea

Status
Not open for further replies.

Kijana Jr

JF-Expert Member
May 12, 2016
560
838
Natamani niende ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam au Rais wa wanyonge
Life is not fair accept it,be happy,smile nimefukuzwa kazi sababu tu ni disability (deaf hatua ya tatu ) tena kwenye ofisi ya serikali( serikali hii ya wanyonge) na kikubwa zaidi kazi nilikua nafanya kwa asilimia mia bila kikwazo chochote japo ni disability.

Ninayo miguu,mikono,macho na ninaongea vizuri tu . lakini Nina amini ni fitina tu na roho mbaya tu za baadhi ya viongozi . kwa sasa nipo tu mtaani sina kazi na Hali ngumu mno mtaani tangu mwaka huu uanze sijui lipi la kufanya .neno langu uongozi ni kitu cha mpito tu . hii inchi

Na sisi tuna familia kama nyinyi mnapotufukuza kazi twende wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu kazi yoyote ya kuajiliwa usiwe na imani utadumu milele.kama una akiba fanya biashara mkuu.
Wakati nipo kwenye vugu vugu lakutetea kibarua changu kisiote nyasi pesa zote nililipia matibabu kwa imani nitaweza kushinda na kuondelea na kazi lakini aikuwa hivyo pesa yote nililipia matibabu na kibarua kikaota nyasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani niende ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam au Rais wa wanyonge
Life is not fair accept it,be happy,smile nimefukuzwa kazi sababu tu ni disability tena kwenye ofisi ya serikali( serikali hii ya wanyonge) na kikubwa zaidi kazi nilikua nafanya kwa asilimia mia bila kikwazo chochote japo ni disability.

Ninayo miguu,mikono,macho na ninaongea vizuri tu . lakini Nina amini ni fitina tu na roho mbaya tu za baadhi ya viongozi . kwa sasa nipo tu mtaani sina kazi na Hali ngumu mno mtaani tangu mwaka huu uanze sijui lipi la kufanya .neno langu uongozi ni kitu cha mpito tu . hii inchi

Na sisi tuna familia kama nyinyi mnapotufukuza kazi twende wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hueleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikufanya kosa lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn unachagua comments za kujibu?
Watu wanavyokuuliza kukuhusu ni ili iwe rahisi kupata ufumbuzi kwa urahisi na unaweza saidika hapahapa..

Humu ndani JF wako watu tofaut tofauti wenye hazina ya fikra chanya..hivyo mawazo ya wengine ni mtaji!

Kumbuka mficha Uchi Hazai!
 
Mkuu pole mungu mwema

kelphin kepph
Kwamba Mungu afanyaje sasa?

Mungu ana mambo mengi sana ya kufanya hapa mjini, kuna kesi za kuonewa watu ziko mahakmani anatakiwa aingilie kati, pia kuna watu wanakufa somalia kule anahangaika nao, congo nako vilevile..Kcmc kuna wagonjwa wengi wanamtaka aende kuwaponya..sisimizi wanamsubir, ndege nk

Huyu mleta uzi anaambiwa aweke wazi ili wepes upatikane anabaki kudanga kwenye comments!

Asimpotezee Mungu wa watu muda wake!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom