Msaada nimefukuzwa kazi nani wakunitetea

Status
Not open for further replies.
Huyu anaonekana ameweka uzi ili mradi aonewe huruma na apewe pole ila hana lolote. Mtu unafukizwa kazi bila kosa tena serikalini na huenda bila barua? Nadhani hayuko serious na hii inasababisha akija mtu aliye serious na tatizo la namna au muendano km huo asisaidiwe coz mtu mmoja ameshindwa kuwa muwazi ili asaidiwe! Msipoteze muda na babdo za watu wazuri wa JF.
 
Wakati nipo kwenye vugu vugu lakutetea kibarua changu kisiote nyasi pesa zote nililipia matibabu kwa imani nitaweza kushinda na kuondelea na kazi lakini aikuwa hivyo pesa yote nililipia matibabu na kibarua kikaota nyasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeulizwa unadisability ya kitu gani? Au unadisability ya kutofahamu unachoulizwa na kuelekezwa kufanya? ndo maana ukafukuzwa kazi? Hata kama ningekuwa mimi ndo mwajiri kama nampa maelekezo mfanyakazi wangu anielewi ntafanya nini zaidi ya kumfire!!
 
Natamani niende ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam au Rais wa wanyonge
Life is not fair accept it,be happy,smile nimefukuzwa kazi sababu tu ni disability (deaf hatua ya tatu ) tena kwenye ofisi ya serikali( serikali hii ya wanyonge) na kikubwa zaidi kazi nilikua nafanya kwa asilimia mia bila kikwazo chochote japo ni disability.

Ninayo miguu,mikono,macho na ninaongea vizuri tu . lakini Nina amini ni fitina tu na roho mbaya tu za baadhi ya viongozi . kwa sasa nipo tu mtaani sina kazi na Hali ngumu mno mtaani tangu mwaka huu uanze sijui lipi la kufanya .neno langu uongozi ni kitu cha mpito tu . hii inchi

Na sisi tuna familia kama nyinyi mnapotufukuza kazi twende wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah,afu unajiita Jiwe Jr kabisa aiseh...nenda kashitaki kwa Jiwe Sr hakuna namna.

Lakini mkuu serikalini kufukuzwa kazi sio process fupi kiasi hicho,kuna lolote hujataka kutuambia labda?
 
Umeulizwa unadisability ya kitu gani? Au unadisability ya kutofahamu unachoulizwa na kuelekezwa kufanya? ndo maana ukafukuzwa kazi? Hata kama ningekuwa mimi ndo mwajiri kama nampa maelekezo mfanyakazi wangu anielewi ntafanya nini zaidi ya kumfire!!
Deafness means ukiziwi ndio disability yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani niende ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam au Rais wa wanyonge
Life is not fair accept it,be happy,smile nimefukuzwa kazi sababu tu ni disability (deaf hatua ya tatu ) tena kwenye ofisi ya serikali( serikali hii ya wanyonge) na kikubwa zaidi kazi nilikua nafanya kwa asilimia mia bila kikwazo chochote japo ni disability.

Ninayo miguu,mikono,macho na ninaongea vizuri tu . lakini Nina amini ni fitina tu na roho mbaya tu za baadhi ya viongozi . kwa sasa nipo tu mtaani sina kazi na Hali ngumu mno mtaani tangu mwaka huu uanze sijui lipi la kufanya .neno langu uongozi ni kitu cha mpito tu . hii inchi

Na sisi tuna familia kama nyinyi mnapotufukuza kazi twende wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia uandike vizuri.

PIA UTOE MA MAZURI HATA MAWILI YA OFISI HUSIKA.

Sheria ya ajira na mahusiano kazini (ELRA) 2004 inakataza ubaguzi,nenda CMA haraka sana.Hiyo ni unfair termination,kimbia haraka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua Mkuu humu JF kuna watu wenye nafasi kubwa zaidi ya unavyofikiria, sasa unapoeleza vitu kwa mkato mkato watu watashindwa kukusaidia... Eleza

Kazi ulikuwa unafanya wapi, wewe ulikuwa ukifanya kazi gani hapo, je masharti ya ajira yako yalikuwaje (ya kudumu au mkataba), barua umepewa lini na sababu zilizoandikwa kwenye barua... Hapo at least watu watapata pa kuanzia
 
Ata muuza vitumbua anaishi...karibu katika kujiajiri
 
Natamani niende ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam au Rais wa wanyonge
Life is not fair accept it,be happy,smile nimefukuzwa kazi sababu tu ni disability (deaf hatua ya tatu ) tena kwenye ofisi ya serikali( serikali hii ya wanyonge) na kikubwa zaidi kazi nilikua nafanya kwa asilimia mia bila kikwazo chochote japo ni disability.

Ninayo miguu,mikono,macho na ninaongea vizuri tu . lakini Nina amini ni fitina tu na roho mbaya tu za baadhi ya viongozi . kwa sasa nipo tu mtaani sina kazi na Hali ngumu mno mtaani tangu mwaka huu uanze sijui lipi la kufanya .neno langu uongozi ni kitu cha mpito tu . hii inchi

Na sisi tuna familia kama nyinyi mnapotufukuza kazi twende wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda idara ya kazi kaelezee tatizo la kufukuzwa kazi wao wanamsaada sana kama kweli umeonewa, au kwa afisa Utumishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom