Wakushauriwakushali
Nashukuru sana mkuu,inawekana kweli hilo ndio tatizo maake mm sio mpenzii wa mazoeziiMkuu Fanya Mazoezi (Kimbia Asubuhi/ Jioni) Hiyo Itakusaidia Kuwa Na Uwezo Wa Kunywa Maji Mengi Hilo Tatizo Lako Litakoma Mara Moja.
Ukifanya Hivyo Utachaka Papusi Hadi Ataomba Msamaha Umuonee Huruma.
Pia Inauwezeka Umeanza Kuwa Na Uzi Mkubwa Hivyo Zingatia Ulaji Wa Vyakula Kuepusha Hilo.
Kila La Kheri Katika Ratiba Yako Nzuri Ya Mazoezi Ya Mwili. (Physical Exercises)
Hahaha nashukuru Sana mkuuMimi naona apo shida ni hofu ambayo inaweza sababishwa na vitu vifuatavyo
✓Msongo wa mawazo ( too much expectations)
✓ mtu uliye kutananae ulikua unamuogopa au ujamzoea
Subili waje wajuzi wa aya mambo maana jamiiforum Kila mtu anaunganisha bao pia anapiga zaid ya 4 Kila bao linachukua dakika 45+ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]