Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
- Thread starter
- #41
Asante nimefanikiwaPlease change your battery.Buy a new one.Thats the only solution I can offer you.And it'll work.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante nimefanikiwaPlease change your battery.Buy a new one.Thats the only solution I can offer you.And it'll work.
Nimebadilisha sasa hvi iko poa tuBadilisha battery hilo ni tatizo ndo maana unakuwa unaichaji huku ukitumia ndo inakubali moto wake hautoshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawekaje mkuu tafadhaliNdiyo simu yangu ya Kwanza LG G3 ilikuwa ina hizo issue za bootloop na flicker
Ndiyo nilikuwa na LG G3 ilikuwa na mtindo kama kama wake(bootloop+flicker/shade)
Forums kama xda na nyińgine solution waliyotoa ni kubadilisha betri nikafanya hivyo Ila tatizo halikuondoka.
Kuna jamaa alisema ni hardware issue ufumbuzi kuweka karatasi ya aluminium ili soc isipate joto sana.
So mimi nimekata kipande cha shaba kutoka kwenye cooling fan ya laptop then nikaifungua simu na kuweka hicho kipande kwenye Soc na kuapply thermal paste tatizo kwisha.
Namesharekebisha simu 3 sasa zote zinapiga mzigo
Hilo tatizo ni software siyo HardwareBack up vitu vyako muhimu hata kwenye pc kisha fanya factory reset (restore).
Ikishindikana tafuta fundi wa hardware
Kwa hiyo?Hilo tatizo ni software siyo Hardware
Angalia post no 38 nimedadavua kwa mapicha
Nimekujibu tayari