Msaada: Nikiwasha Data tu, simu inajizima yenyewe

Wakuu nina tatizo kwa simu yangu
Simu yangu ni ya LG G3 tatizo linakuja kuwa nikiwasha data nikiingia internet tu inajizima na kujiwasha yenyewe sasa nashindwa kujua tatizo ninini?
Maana yake ni kuwa nashindwa kutumia hata watssap au mtandao wowote nikiwasha tu data za internet on inajizima saa hiyo hiyo na kujiwasha
Nisaidieni nifanyeje wakuu

Inanisumbua sana kuna. wakat battery inasoma ipo 70% hapo hapo mara inaandka battery low Baada Ya muda tena inaandka ipo 4%
Nikiwasha data ndo inajizima nikiweka airplane mode haizimi
Sasa hivi nikiwasha data ni mpk niwe nimeiweka kwenye chaji yaan niitumie huku inaingiza bila hivyo inajizima
Msaada please wakuu
mkuu tatizo betri.. badilisha betri utaonaa
 
Pole saana kakta cm za galaxy bas Not4 walichapia ktk chaj
Yaani hizo cm hazikai kabxaa na chaj
Sasa ili iwe na afadhali ya chaj kukaa kiasi punguza brighteness ya display hlf mara kwa mara zisimamishe running applications zisizolua na faida kwako
Bttry nenda kariakoo bei nadhani itakua elf30
Vizuri zaidi ununue na power bank
Kwa akiba kwajili ya safari
Shukran mkuu
 
Huu ugonjwa ni LG G3 nyingi zinashida hiiiii. Yangu iliwahi kuwa na wenge la kuji restart n inaishia kwenye Logo hadi ikikaa sana itaenda mbele na kuwaka......

Ilivyowaka sasa Wifi imejiwash ukiturn off haikubal, bluetooth wenge ikawa mtihani tu , mara mnara na netwrk izingue restart inaanza upya.

Nikaambiwa solution ya kudumu ni kubadili motherbrd kinyyme na hapo itakuwa tatizo linarudi tu.

Till nikasema hiii simu haito zingua tena maana inanchosha. Now ipo good tu

Carpe diem.....
 
Solution yakudumu ni kuweka kipande cha shaba na thermal paste
 
Shukrani sana.

Umewahi kutana na ishu kama hiii

Carpe diem.....
emoji187.png
Ndiyo simu yangu ya Kwanza LG G3 ilikuwa ina hizo issue za bootloop na flicker
Shukrani sana.

Umewahi kutana na ishu kama hiii

Carpe diem.....
Ndiyo nilikuwa na LG G3 ilikuwa na mtindo kama kama wake(bootloop+flicker/shade)
Forums kama xda na nyińgine solution waliyotoa ni kubadilisha betri nikafanya hivyo Ila tatizo halikuondoka.
Kuna jamaa alisema ni hardware issue ufumbuzi kuweka karatasi ya aluminium ili soc isipate joto sana.
So mimi nimekata kipande cha shaba kutoka kwenye cooling fan ya laptop then nikaifungua simu na kuweka hicho kipande kwenye Soc na kuapply thermal paste tatizo kwisha.
Namesharekebisha simu 3 sasa zote zinapiga mzigo
 
Wakuu nina tatizo kwa simu yangu
Simu yangu ni ya LG G3 tatizo linakuja kuwa nikiwasha data nikiingia internet tu inajizima na kujiwasha yenyewe sasa nashindwa kujua tatizo ninini?
Maana yake ni kuwa nashindwa kutumia hata watssap au mtandao wowote nikiwasha tu data za internet on inajizima saa hiyo hiyo na kujiwasha
Nisaidieni nifanyeje wakuu

Inanisumbua sana kuna. wakat battery inasoma ipo 70% hapo hapo mara inaandka battery low Baada Ya muda tena inaandka ipo 4%
Nikiwasha data ndo inajizima nikiweka airplane mode haizimi
Sasa hivi nikiwasha data ni mpk niwe nimeiweka kwenye chaji yaan niitumie huku inaingiza bila hivyo inajizima
Msaada please wakuu
Mpelekeee mkulu MAGU hiyo simu akaipatanishee ina ugomvi na system charge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ugonjwa ni LG G3 nyingi zinashida hiiiii. Yangu iliwahi kuwa na wenge la kuji restart n inaishia kwenye Logo hadi ikikaa sana itaenda mbele na kuwaka......

Ilivyowaka sasa Wifi imejiwash ukiturn off haikubal, bluetooth wenge ikawa mtihani tu , mara mnara na netwrk izingue restart inaanza upya.

Nikaambiwa solution ya kudumu ni kubadili motherbrd kinyyme na hapo itakuwa tatizo linarudi tu.

Till nikasema hiii simu haito zingua tena maana inanchosha. Now ipo good tu

Carpe diem.....

sim za LG bado zinatumika
 
Ndiyo simu yangu ya Kwanza LG G3 ilikuwa ina hizo issue za bootloop na flicker

Ndiyo nilikuwa na LG G3 ilikuwa na mtindo kama kama wake(bootloop+flicker/shade)
Forums kama xda na nyińgine solution waliyotoa ni kubadilisha betri nikafanya hivyo Ila tatizo halikuondoka.
Kuna jamaa alisema ni hardware issue ufumbuzi kuweka karatasi ya aluminium ili soc isipate joto sana.
So mimi nimekata kipande cha shaba kutoka kwenye cooling fan ya laptop then nikaifungua simu na kuweka hicho kipande kwenye Soc na kuapply thermal paste tatizo kwisha.
Namesharekebisha simu 3 sasa zote zinapiga mzigo
Ah kumbe
 
Shukrani mkuuu.
Hapa hata ishu kweli haikuwa betry nilikutana na kitu kama Xda na site zingine za tech walitoa solution kama yako ya kuweka bettry ingine, lakin kwangu haiku ingia kwa akili hata kidogo.

Baadae kuna jamaa mmoja alinambia ni ishu ya kubadili motherboard yote, mim nikaona haiwezi kuwa hivyo.

Ni sawa na Ic ya radio hiwe inaungua then uwe una badili vitu vyote kumbe ishu ni kuweka heat sink tu.

Umenifungua macho hapa. Shukrani

Carpe diem.....
 
Ndiyo simu yangu ya Kwanza LG G3 ilikuwa ina hizo issue za bootloop na flicker

Ndiyo nilikuwa na LG G3 ilikuwa na mtindo kama kama wake(bootloop+flicker/shade)
Forums kama xda na nyińgine solution waliyotoa ni kubadilisha betri nikafanya hivyo Ila tatizo halikuondoka.
Kuna jamaa alisema ni hardware issue ufumbuzi kuweka karatasi ya aluminium ili soc isipate joto sana.
So mimi nimekata kipande cha shaba kutoka kwenye cooling fan ya laptop then nikaifungua simu na kuweka hicho kipande kwenye Soc na kuapply thermal paste tatizo kwisha.
Namesharekebisha simu 3 sasa zote zinapiga mzigo
Na vipi kuhusu bluetooth wifi service zingine za wireless connection kuzingua ???

Unaweza washa bluetooth mzgo hausomi au inakubali kuwaka au inasema unfortunately bluetooth imestop working etc

Shida ina tatuliwaje mbaba

Carpe diem.....
 
Ndio ndugu.

LG zipo bomba sana...mbona zingine very latest na zinakimbiza sokoni.

Fatilia kidgo kuhusu Lg G6.....imetangazwa mwakahuuu feb bado sijaiona kitaaa ila nahisi itakuwa tayari ipo.

LG G6 - Full phone specifications

Carpe diem.....

Upo sawa kabisa mkuu...lkn ukiwa na LG ni sawa na kua na akaunt ya benk NBC,,nikimaabisha kua wewe utaendea tu kupiga foleni
Chako mwenyewe lkn kinakutesa.
Lg imepigwa mande ktk DEVICES android na IOS
Nadhani utakua umenielewa mkuu
 
Kila mtu na anqcho penda.

Kwa kifupi kun watu wanapenda kuwa uniq.

Sio unakuwa na simu wote karibia mlio hapo ni Brand hiyo hiyo kama Sale.

Ila kukujuza tu next time huwe una jiupdate ili utoe nondo sahihi.

Mwnzo ulidhani kuwa Lg hazipo na hazitumiki nika jaribu kukushowa kuwa zipo na still wanatoa latest matoleo.

Now una waza kuwa zina lag sana.
Ila kifupi hizi kampun za simu huwa wanatarget masoko yao , nahisi hawa LG hawaja target sana Africa huku ndio maan hazisikiki sana huku.

Ila kwa mwaka huuu kulingana na watafiti na wachambuzi wame rank moja ya Simu ya Lg kuwa ni miongon mwa Best android phone

Best Android Phones 2017: 9 of the best Android smartphones | Trusted Reviews

top android phones - Google Search

10 best Android phones 2017: which should you buy? | TechRadar

So haija Lag kihivyo kama usemavyo

Carpe diem.....
 
Na vipi kuhusu bluetooth wifi service zingine za wireless connection kuzingua ???

Unaweza washa bluetooth mzgo hausomi au inakubali kuwaka au inasema unfortunately bluetooth imestop working etc

Shida ina tatuliwaje mbaba

Carpe diem.....
Tumia hiyo njia niliyokupa then lete mrejesho.
 
mkuu badili kampni tu koz hata lg wenyew wameshindwa kufix matatizo ya simu zao
g line n tabu sijui kwa watu wanao run g5 ila kushuka chini n tabu
 
Back to topic, kama simu ikiwa katika chaji na haizimi hata ukiwasha data, ila ukiwasha data huku ikiwa haipo katika chaji, basi hapo naconclide kwa kusema 99% tatizo litakuwa ni betri ndo tatizo. Kwani hizo abrupt changes za mara battery ioneshe 70% mara low batery mara 4% ni dalili za battery kuchoka. Tafuta replacement ya hiyo battery.
well said nimebadili betr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom