Wakubwa watanielewa.Utoto gani mzee?
Natamani niamini hivyo lakini dah nafsi inaniambia hapana kutokana na mazingira ya huyo mwanamke na mambo ya ushirikina yuko nayo tofauti sana.Leo cku ya tatu najitibu hilo tatizo hatari sana ila niko poa saiv. Wanawake wa kuokota hovyo hawa alafu unampa ahadi nyingi sio vizur kabisa, wengine wanamikoba ya bibi zao wanakukomesha,
Uwezo wa mwanaume haupo mdomoni kakaLadyAJ,
Ah Lady sio kama sina uwezo, kwa zaman na-perform fresh bila shida, tatizo lipo huku kwengine. Nauliza now au hukunipenda huna hisia na mimi. Simfuati mwanamke na kumvua nguo bila kumpenda. Nimempenda pasi na mashaka.
kwan unafikiri mshirikina unamjua..au mtu akitaka kukufanyia ubaya anakua na alama gan uson? Yan wabaya huwez kuwadhania kabisa..yan huwez hata kidogo nakumbuka nilishakuwa mtoto mmoja mkal kinoma..dini imelala kwake ana elimu nzuri alafu mrembo balaa...cku namvua nguo nakuta ana chale za waganga kila pembe...ndio nikajua haya mambo ni mapana sana kila mtu anayafanya anavyojua yeye .kwahiyo saiv mm najiamin mwenyew tu sio mtu yyte mwingneNatamani niamini hivyo lakini dah nafsi inaniambia hapana kutokana na mazingira ya huyo mwanamke na mambo ya ushirikina yuko nayo tofauti sana.
Yote uliyoyataja yanaendana na ukubwa, umri, akili na uwezoHivi ukubwa mnaousemea ndugu zangu ni upi? Maana kuna mtu nae alitoa mawazo kama yako. Ukubwa wa umri, ukubwa wa akili au uwezo wa kuchanganua mambo?
😄hapana mkuu hapo kwenye uwezo nakataa, nikiwa kitandani nahakikisha mwanamke karidhika na mimi ndio namaliza. Sio promo, Huyu nilienaye tuu ananiita Dokta, naelewa mwanamke anataka nini kitandani. Nimeblock wanawake zaid ya wawili wanaotaka turudiane na kukumbushia good times we had, mi ni kijana nina mambo mengi ila, sijawah kuwa na mahusiano na wawil kwa pamoja hii imetokea sasa hivi.Uwezo wa mwanaume haupo mdomoni kakakama mwanamke analalamika Basi jua uwezo huna na yaweza kuwa hata yule wako wa siku zote anakuvumilia tu sababu ataenda wapi
Sent using Jamii Forums mobile app