msaada nifahamisheni mshaharA wawalimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada nifahamisheni mshaharA wawalimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by sharura, Jul 13, 2012.

 1. s

  sharura Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msaada naomba kufahamu mshahara wawalimu wa sekondar
   
 2. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kwanza hakuna Mwalimu wa Sekondari ila kuna Mwalimu Grade IIIA, Mwalimu Mwenye diploma (Stashahada) na Mwalimu Mwenye Shahada ya Kwanza (Digrii). Wewe unataka level gani?
   
 3. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  MSHAHARA MWALIMU WA CERTIFICATE 2,44,400/= diploma 3,25,000/= DEGREE 4,69,000/=
   
 4. s

  sharura Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nn
  Nashukuru mkuu nilikua nauliza wa diploma
   
 5. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Duh tuliokimbia hesabu tupo wengi? Koma inawekwa baada ya namba tatu toka kulia bwana ebo!!! Yaani 469,000/-, 325,000/- na 244,400/-
   
Loading...