Msaada: Ni ipi aina bora ya sola paneli?

Msaada: Ni ipi aina bora ya sola paneli?

Kiukweli Battery la pro solar lipo poa sana sema solar zao ndio ghali, chukua Battery N100 na solar sundar watt 150 uta enjoy maisha.
Asante kwa ushauri!Kuna mdau humu alinishauri niwaone Zola,tayari wamenifungia mtambo wao ndiyo niko nasikilizia,ingawa gharama zao naona zimeshiba
 
watafute eggy energy watakufanyia kila kitu na utalipia kidogo kidogo

nimefunga hapa nina miaka 14 kitu imetulia panel toka ujerumani na wakati wakifunga wanapima uelekeo gani panel ikae na inaungwa na simu yako

namba yao

0655220242
Ulifunga ya watt ngapi na ilikugharimu kiasi gani?
 
Kwa anayehitaji Betri za uhakika zlizotumika kwenye minara ya simu anicheck Hz ni Betri imara mara Mia kuliko mpya ya Sundar au sjui Rita NK ninazo za 150ah umeme WA uhakika sana.
0629945110
Bado unazo, sio za wizi?
 
Asante kwa ushauri!Kuna mdau humu alinishauri niwaone Zola,tayari wamenifungia mtambo wao ndiyo niko nasikilizia,ingawa gharama zao naona zimeshiba
Hao na wenzao sunking sjui mobsol aisee vifaa vyao UBORA na UWEZO MDOGO lakini gharama kubwa Sana tatzo wabongo tunaona slope Ile wanakupa Kwa mkopo utajkuta umelipa mil NNE.
Bado unazo, sio za wizi?
Ziko wapi hizo za wizi nionyeshe nikaibe maisha bila ku risk hutoboi
 
Mimi ninazo Sola za Wat 120 za Mobisol Mpya na Used (ni za deal),bei maelewano,nikikuuzia naidisconnect kabisa(tempering) hivyo unakuwa unatumia bure bila kulipia na wao wanashindwa kuisoma,mhitaji aje PM
 
Back
Top Bottom