Msaada: Ni ipi aina bora ya sola paneli?

kuna solar panel aina mbili, mono na poly, chukua Mono, utanishukuru baadae japo bei imechangamka, zigoogle kujua tofauti zake kimuonekano

kwa controller tafuta MPPT controller achana na PWM, mppt bei imechangamka ila hutajutia
 
Unazungumzia aina au brand? Maana ni vitu viwili tofauti.

Kama ni brand, basi chukua kampuni ya Suntench au Jinko. Ingawa jinko panel za watts ndogo hawana, nafikiri wanaanzia watts 200 na kuendelea na output volts ni 24+. Ukishindwa hizi nenda kwenye maduka ya steps solar, watakupa panel na controller zenye ubora kiasi.
 
Chukua hii
 
Hapa Mbeya hizo brand nawezazipata wapi?
 
kuna solar panel aina mbili, mono na poly, chukua Mono, utanishukuru baadae japo bei imechangamka, zigoogle kujua tofauti zake kimuonekano

kwa controller tafuta MPPT controller achana na PWM, mppt bei imechangamka ila hutajutia
thread closed
 
Una hoja nzuri ila umeongea as if wote wana elimu uliyonayo wewe.... Yaani ni sawa na kusema "aisee lile konde la Mwakinyo lilikuwa hatari sana" as if woootee wameshuhudia mapambano
 
Umeonaee!Jamani fafanueni kwa ile lugha ya wote!Nimeenda kwenye maduka ya pale Mwanjelwa,nimekuta wanauza Sundar solar ,sasa nimeshindwa kuelewa maana wafanyabiashara wanasifia kile wanachouza
 
Lazima upate shida kwa sababu kwa kutumia tuu majina au brand (Sundar, sijui nini...) ni ngumu sana kujua ipi bora na wauzaji wao wanavutia kuuza bidhaa zao tuu...
 
Unazungumzia aina au brand? Maana ni vitu viwili tofauti.

Kama ni brand, basi chukua kampuni ya Suntench au Jinko. Ingawa jinko panel za watts ndogo hawana, nafikiri wanaanzia watts 200 na kuendelea na output volts ni 24+. Ukishindwa hizi nenda kwenye maduka ya steps solar, watakupa panel na controller zenye ubora kiasi.
watafute eggy energy watakufanyia kila kitu na utalipia kidogo kidogo

nimefunga hapa nina miaka 14 kitu imetulia panel toka ujerumani na wakati wakifunga wanapima uelekeo gani panel ikae na inaungwa na simu yako

namba yao

0655220242
 
Tafuta brand ya SUNPOWER, zinatoka US, zipo pia zilizotengenezwa Germany.

Ukipata monocrystalline ni nzuri zaidi ya polycrystalline, japo kwa technologia ilipofikia tofauti hiyo ni ndogo sana. Kwa hiyo bajeti ikibana chukua poly.
 
Kabisa mkuu. Tofauti ni ndogo sana.
 
kuna solar panel aina mbili, mono na poly, chukua Mono, utanishukuru baadae japo bei imechangamka, zigoogle kujua tofauti zake kimuonekano
Matumizi ya mono, poly, ama amorphous solar panel yanategemea hali ya hewa ya sehemu alipo mtumiaji. Pia zipo zaidi ya aina tatu za solar panels ingawa nyingi bado zipo kwenye maabara kwa ajili ya utafiti.

Mono ni nzuri sana na ufanya kazi kwa ufanisi katika maeneo ambayo upata mwanga wa moja kwa moja kutoka juani bila kupitia kwenye mawingu (direct/beam solar radiation). Poly na Amorphous ni nzuri kwenye maeneo ambapo mwanga wa jua ni hafifu kutokana na ukungu ama mawingu (diffuse solar radiation).

Kwa hiyo, kumshauri mtumiaji wa Kibosho atumie Mono nikutaka kumfanya 'kuzika' hela zake za manunuzi ya panel. Wa Kibosho atumie amorphous ama poly panels. Hata hivyo mbali na bei kuwa haijachangamka kwa panels hizi zina changamoto zake zinazohimilika.
 
Lazima upate shida kwa sababu kwa kutumia tuu majina au brand (Sundar, sijui nini...) ni ngumu sana kujua ipi bora na wauzaji wao wanavutia kuuza bidhaa zao tuu...
Atafute trusted dealers/suppliers wa panels hizi hapa nchini. Unaweza kupata orodha ya wauzaji wa panels kutoka kwenye directory ya watu wa TAREA. TAREA ni Tanzania Renewable Energy Association ambayo ni mdau mkubwa katika kuhimiza matumizi ya nishati jadidifu nchini Tanzania, Matumizi ya nishati jadidifu yanahusisha matumizi ya solar panels. TAREA wapo kwenye eneo la EPZA -barabara ya Mandela Dar es Salaam kwa ushauri zaidi watembelee. Ama ingia kwenye website yao.
 
Back
Top Bottom