Msaada ndugu zangu maana nashindwa pa kuanzia

Matokeo1

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
231
42
wenye kujua e-mail za recruitment za mashirika haya ya mifuko ya jamii kama PSPF, LAPF, NSSF,PPF, GEPF, nitupie huko CV tu maana kila wapotangaza kazi naomba hata kubp hawabp na vigezo wanavyotaka ninavyo, labda nikitupia huko CV mara kwa mara wanaweza kuona aibu waniite.
 
Kuwa makini, ukiona tangazo la kazi zingatia masharti yote....pia kuitwa interview/kupata kazi ni bahati sana ...usikate tamaa................check website zao for contacts
 
Nashukuru kaka kwa mawazo yako maana nimeomba sehemu nyingi sana had nakata tamaa kuapply wanapotangaza kazi magazetini.
 
Mkuu kwa nini hayo mashirika pekee? Hili ndo Tatizo la Wabongo watu wanaota kufanya kazi TRA, BANDARINI NA KWENYE HAYA MASHIRIKA,
 
Mkuu sio kwamba ni haya mashirika tu, mengine nshatupia na naendelea kutupia CV, ila nlichosomea kimebase sana kwenye hii mifuko ya jamii, si unajua elimu zetu za bongo sio multipurpose kivileee kama za wenzetu.
 
Mkuu kwa nini hayo mashirika pekee? Hili ndo Tatizo la Wabongo watu wanaota kufanya kazi TRA, BANDARINI NA KWENYE HAYA MASHIRIKA,

Umeisahau BOT
Tunaamini huko ndiyo per K ipo safi.Kumbe kuna sehemu ambazo hazina majina makubwa lakini zinatoa per k ya maana tu!
 
Back
Top Bottom