Msaada ndugu Dell inspiron 15 haitaki kuzima.

Msaada ndugu Dell inspiron 15 haitaki kuzima.

Ecco

New Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Habari ndugu natumai mtakua mmeianza siku ya leo vizuri........naombeni msaada laptop yanga dell inasumbua kuzima inawaka vizuri ila inapofika nataka kuizima haitaki na hili tatizo lina siku ya tatu leo,naombeni msaada.........heshima kwenu!
 
Back
Top Bottom