Msaada: Ndoa ya ndugu yangu ipo mashakani

Msaada: Ndoa ya ndugu yangu ipo mashakani

Mmh! Huyo mshikaji anatuaibisha wanaume yani umempenda mtoto wa watu mpaka ukaamua kumuoa halafu unaruhusu mjinga mwingine kukuharibia? Acha ulofa we kidume hebu fanya maamuzi kama mwanaume.

Kumpenda anampenda ila huyo mke mwenyewe hajamchagua yeye hao hao wazazi ndo walomchagulia
 
Ndo hasara ya kuolewa na mama's boy

Mwambie huyo mke asepe mpaka mumewe atakapokomaa kiakili,

Mume unamwachia matumizi dada yake??? Kweli? Au anamdoo dada yake?
 
Msiwalaumu mawifi tu, hata huyo mke pia ana lawama zake, Yeye angepigania ndoa yake, angedeal na mumewe...
Kama pesa ya kula wanaachiwa mawifi na hawmnyimi chakula basi fine, angejifanya mjinga ili ndoa yake isimame...
Lakini kama alitaka kushindana na na ndugu wa mume basi ndo maana kachemka..

Ushauri wa bure; Ukigombana na ndugu wa mumeo gombana nao peke yako, usije kuthubutu kumuingiza mume katika ugomvi, hata akiwa upande wako mwisho wa siku wale ni ndugu zake tu...
Na siku akili zikimkaa sawa akigundua we ndo sababu ya kutoelewana na ndugu zake...atakuchukia.
 
Ndo hasara ya kuolewa na mama's boy

Mwambie huyo mke asepe mpaka mumewe atakapokomaa kiakili,

Mume unamwachia matumizi dada yake??? Kweli? Au anamdoo dada yake?

Kuna mawifi wachoyo hatari, ukute alikuwa akiachiwa yeye anawanyima chakula...from no where mume hawezi kuanza kuacha pesa kwa dada zake...lazima kuna kitu.

Wote wamekosa busara, ila mke amekosa busara zaidi...huwezi shindana na mawifi...Vitu vingine unatakiwa udharau na kupuuzia hadi wajione wajinga.
 
Waondoke na mume wake wakapange. Waachieni hiyo house.
Hakuna radhi wala nini.
 
Yaan mawifi hata ungewapa niniiii sijawah sikia mtu anapendwa na wifi yake ni wachache mnoo wengi ni chuki na wivu
Kwa hiyo na wewe huwapendi wifi zako. Na una chuki na wivu nao. Kitu kimoja inachonishangaza, wanawake wanalalamika kunyanyaswa nawifi zao, lakini na wao wanakuwa na gubu kwa wake wa kaka zao. Inakuwaje lakini
 
Kuna mawifi wachoyo hatari, ukute alikuwa akiachiwa yeye anawanyima chakula...from no where mume hawezi kuanza kuacha pesa kwa dada zake...lazima kuna kitu.

Wote wamekosa busara, ila mke amekosa busara zaidi...huwezi shindana na mawifi...Vitu vingine unatakiwa udharau na kupuuzia hadi wajione wajinga.

Kuna vitu huwezi kuvipuuzia ukiwa nyumbani kwako aisee.....

Na kuna mama's boys hata mkipanga jambo chumbani halipiti mpaka mama yake na dada zake wa-authorize....

All in all mwanaume boya.

Kama mke mchoyo alipaswa kutafuta alternative.
 
Yaan mawifi hata ungewapa niniiii sijawah sikia mtu anapendwa na wifi yake ni wachache mnoo wengi ni chuki na wivu

Hata wewe wake za kaka zako wanakuona una chuki na wivu! Ndiyo unamaanisha hivi?
 
Kwa hiyo na wewe huwapendi wifi zako. Na una chuki na wivu nao. Kitu kimoja inachonishangaza, wanawake wanalalamika kunyanyaswa nawifi zao, lakini na wao wanakuwa na gubu kwa wake wa kaka zao. Inakuwaje lakini

Mwizi akiibiwa........ mtenda akitendewa!
 
Kuna vitu huwezi kuvipuuzia ukiwa nyumbani kwako aisee.....

Na kuna mama's boys hata mkipanga jambo chumbani halipiti mpaka mama yake na dada zake wa-authorize....

All in all mwanaume boya.

Kama mke mchoyo alipaswa kutafuta alternative.

Alternative si ndo hiyo kaanza kuwaachia pesa ya kula dada zake?
Bahati nzuri mimi nina kaka tupu, nina experience na mambo ya mawifi...
Mtu anaolewa anawaza kusambaratisha familia, ni umbea na uchonganishi....
Bahati nzuri nimesoma saikolojia I can handle them...

So msimlaumu tu mwanaume na ndugu zake.
 
Wanaume wengine ni kwa ajili ya kuhesabiwa katika sensa tu.

Hahahaha, umeua, on a serious note sure kabisa baadhi ya watoto wa kiume wanatuaibisha wanaume, huyo atakuwa mama's boy, wazazi na ndugu wanaoingilia ndoa za watoto wao hawafai kwenye jamii, beauty is in the beholders eyes.
 
Duh ila na mawifi wengne wapunguze ya nin kwnda kuingilia ndoa ya kaka yako.jaman na wakaka nyie unapoamua kuoa ebu take care of your wives we utaruhusuje mkeo ateswe na dada zako nawe upo iyo tabia ya kuwaachia mawifi hela za matumizi wkt mi mkeo nipö ndo nin c bora ungeniacha kwe2 ukaishi na dada zako sasa JIREKEBISHENI
 
Mwanaume hana mapenzi ya kweli hapo...anshindwa nini kuwakemea dada zake??atawaowa??
Ndugu will always have a special place in ur heart but huwezi kuwaoa,sharti useme wazi msimamo wako na uthamini nafasi ya partner wako,ushaona hawaelewani dada asikae sana kwako,
otherwise ukute mke nae ana mdomo wanatunishiana misuli wote na mawifi..
 
Back
Top Bottom