myhny
Senior Member
- May 27, 2014
- 123
- 23
- Thread starter
- #21
Wanawake tujifunze kujitegemea jamani, ndo haya mambo unakuwa limama but still unakula kwa shikamoo kwenye nyumba ya kaka ako. Afu we ni mwanamke, kwa nini uharibu ndoa ya wifi ako? Inawezekana pia kwa kuwa wewe hujaolewa ndo maana unamletea gubu wifi ako.
Anyway, Karma has no menu, u get served what u deserve. So siku ukiolewa jiandae kabisa na mawifi zako, watakupa headache hadi utafurahi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Huyo mkubwa alishaolewa na anawatoto wawili alijiashisha