Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,877
- 37,676
jeuri ndiyo hiyo hiyo siku atoke arudi yuko bwax awaome papuchi
Hahahaa haaaa
Hii ni noma
jeuri ndiyo hiyo hiyo siku atoke arudi yuko bwax awaome papuchi
Kukaa na mawifi ni matatizo tu, tena mawifi wenyewe ndo hao pole zake
Alternative si ndo hiyo kaanza kuwaachia pesa ya kula dada zake?
Bahati nzuri mimi nina kaka tupu, nina experience na mambo ya mawifi...
Mtu anaolewa anawaza kusambaratisha familia, ni umbea na uchonganishi....
Bahati nzuri nimesoma saikolojia I can handle them...
So msimlaumu tu mwanaume na ndugu zake.
Msiwalaumu mawifi tu, hata huyo mke pia ana lawama zake, Yeye angepigania ndoa yake, angedeal na mumewe...
Kama pesa ya kula wanaachiwa mawifi na hawmnyimi chakula basi fine, angejifanya mjinga ili ndoa yake isimame...
Lakini kama alitaka kushindana na na ndugu wa mume basi ndo maana kachemka..
Ushauri wa bure; Ukigombana na ndugu wa mumeo gombana nao peke yako, usije kuthubutu kumuingiza mume katika ugomvi, hata akiwa upande wako mwisho wa siku wale ni ndugu zake tu...
Na siku akili zikimkaa sawa akigundua we ndo sababu ya kutoelewana na ndugu zake...atakuchukia.[/QUOTE
Walikuwa nasema kuwa chakula kila siku akitoshi eti kila akipewa pesa anatoa elfu 3 kweli kwa mji huu elfu 3 ule chakula kizuri mchana mpaka usiku ndo akamwambia kama waona nawaibia wape wao .na ikafikia kipindi msichana kabeba mimba hata akitamani soda hana pesa baada ya muda mimba ikatoka na bado alikuwa kimya tu