Msaada:Nawezaje kustream bila buffering? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:Nawezaje kustream bila buffering?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Bornvilla, May 17, 2012.

 1. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Nikicheza video za mtandaoni hukwamakwama na hata zile za live.Siku natazama mechi ya Simba na Shandy Sudan ilikuwa tabu.Ikiplay dk2 ina buffer dk2.Naombeni msaada juu ya hili ili nami ni enjoy.
   
 2. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ...Natumai utakuwa unaangalia video ambazo ni recorded na si live.

  ...Unapochagua video ya kucheza, inapoanza ku load isimamishe -kwa kubonyeza alama/kifungo ya kucheza- usubiri ijae kiasi cha kutosha -kutegemeana na speed ya connection yako, halafu bonyeza tena hiyo alama/kifungo, itacheza vizuri.

  ...Kama speed yako ni ndogo sana, itabidi uiache ijae kwa kiasi kikubwa kabisa.
   
 3. A

  Aaron JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,121
  Likes Received: 2,720
  Trophy Points: 280
  unatumia device gan?
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  yani hapo hamna ujanja kuna solution 2 tu either tafuta network au bundles zenye speed au chagua video zenye low quality
   
 5. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,803
  Likes Received: 2,576
  Trophy Points: 280
  Hamia 3G networks. 2G,edge etc hazina uwezo tosha wa streaming.
   
Loading...