Msaada, naweza pata BP muda si mrefu

Nimekusona mkuu kiutu uzima,
Wake wawili alafu ukipiga game unatepeta mapema,
Unawaza sasa kugongewa,,
Dawa nakupa mjalabu kabisa wa kuondoa hiyo ofu yako ongeza mke mwingine wa tatu ila awe mchamungu hao uliokuwa nao hivi sasa wanakuongezea stress,
Na usikubali hata siku moja mdogo wangu wake zako wakawa marafiki umekwisha,
Watakutanguliza wewe kaburini mapema na wao wakabaki duniani wanakula bata,
Ukitaka kuishi na wake zaid ya 1 uwe nao 2,3,4
Ishi kama dume la simba
Alafu usikubali kuweka ratiba, wewe vamia tu kininja mjengoni na usikubali kuwekewa time limit na mkeo umekwisha..
loud and clear🎙🎙🎙
 
Back
Top Bottom