Msaada tafadhali; je nikiomba shule mwakani naweza pata nafasi kwa shule za serikali?


ERNEST TZ

ERNEST TZ

Senior Member
Joined
Aug 11, 2017
Messages
115
Likes
14
Points
35
ERNEST TZ

ERNEST TZ

Senior Member
Joined Aug 11, 2017
115 14 35
Nilichaguliwa first selection ya form 5 mchepuo wa PCB Mwaka huu, lakini nikaumwa sana sikuweza kwenda hivi naongea nipo nyumbani tu, swali langu je nikiomba shule mwakani naweza pata nafasi kwa shule za serikali?

Na pia naogopa kwenda shule ya advance private kwamba naweza kukosa mkopo pindi nitakapomaliza A-LEVEL msaada tafadhali kwa hili wakuu!!!!
 
ERNEST TZ

ERNEST TZ

Senior Member
Joined
Aug 11, 2017
Messages
115
Likes
14
Points
35
ERNEST TZ

ERNEST TZ

Senior Member
Joined Aug 11, 2017
115 14 35
Na je MTU ambaye amesoma O LEVEL PRIV.na A LEVEL PRiv anaweza kuja kupewa mkopo pindi atapo maliza form six kwa matokeo mazur ,,,,mchepuo PCB
 
yongpal

yongpal

Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
31
Likes
9
Points
15
yongpal

yongpal

Member
Joined Oct 17, 2017
31 9 15
Na je MTU ambaye amesoma O LEVEL PRIV.na A LEVEL PRiv anaweza kuja kupewa mkopo pindi atapo maliza form six kwa matokeo mazur ,,,,mchepuo PCB
Kijana sema ukwel ww uliapply diploma za afya hawakukuchagua ukatupia Uzi mmoja gumu ukiomba tukutajie shule za private za advance tukakupa Leo unasema ulikuwa unaumwa kuwa mkwel kusingizia malazi wanaweza kukupata ukaugua kwel yaaan mwaka mzima tena hoi kabxaa but siombei hayo ngja nikupe michango wangu Wa mawazo ni hivi kwa serikal hapo sahau tena maana first selection kama ulichaguliwa kwel ukaacha kwenda bas hapo nafas yako ilijazwa na Wa second selection kwa mwakani madogo wanapiga paper ndo watajaza nafas hizo ww huna chako tena na kuhusu boom chuoni hamna Nouma bhana ww piga fresh paper lako la PCB utapewa hata 30% sio mbaya maana O lever private A lever private halali tu mpewe kidg maana mnapesa za kujikimu nyie
 
yongpal

yongpal

Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
31
Likes
9
Points
15
yongpal

yongpal

Member
Joined Oct 17, 2017
31 9 15
Apply nursing diploma tandabui wanapokea ukienda ada m2 tu na kidg food ujitegemeee
 

Forum statistics

Threads 1,236,007
Members 474,928
Posts 29,243,293