Wadau wa JF msaada wenu unahitajika hapa.

codifier

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
439
854
Habari za majukumu wana JF.
Naomba msaada wenu namna ya kutatua hili tatizo kwenywe cm yangu *NOKIA X2 dual SIM*.
Simu hii haifungui play store na nimejaribu ku format na ku add google account lakini bado inakataa kufunguka na ina display message hii.
71c161ac1389dd9e6101fa4efba1d798.jpg
eaaf8d071751e1595b2107c59dcf4e7f.jpg

Tafadhali mwenye ujuzi namna ya kuondoa tatizo hili anisaidie.
Ahsanteni na kazi njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom