Msaada: Natokwa na vipele ambavyo baadaye hubadilika kuwa kama vidonda vya kuungua na moto

awamuyetu

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
307
137
Habari zenu waungwana, nimekuwa na tatizo kwa muda mrefu sasa, nimekuwa natokewa na vipele ambavyo baadae hubadilika na kuwa kama ni mtu aliyeungua moto.

Huwa natumia Acyclovir vinakauka na baada ya muda wa miezi hujitokeza tena. Kwa madaktari na wataalamu mliopo humu naomba msaada niweze kupata ufumbuzi wa kudumu. Natanguliza shukrani za dhati kabisa.
 
Habari zenu waungwana, nimekuwa na tatizo kwa muda mrefu sasa, nimekuwa natokewa na vipele ambavyo baadae hubadilika na kuwa kama ni mtu aliyeungua moto. Huwa natumia Acyclovir vinakauka na baada ya muda wa miezi hujitokeza tena. Kwa madaktari na wataalamu mliopo humu naomba msaada niweze kupata ufumbuzi wa kudumu. Natanguliza shukrani za dhati kabisa.
Picha
 
Chini ya kitovu, yaani eneo la pubic hair
Hiyo itakuwa ni genital herpes mkuu,sidhanii kama huwa zinapona,ila kwa dawa unazotumia huwa zina cease kwa muda na kinga yako ikishuka huwa vinatokeza tena ...
 
Hiyo itakuwa ni genital herpes mkuu,sidhanii kama huwa zinapona,ila kwa dawa unazotumia huwa zina cease kwa muda na kinga yako ikishuka huwa vinatokeza tena ...
Kwa hiyo hapa natakiwa kufanya nini mkuu?
 
Back
Top Bottom